Nnape, tatizo unakurupuka bila kujua nini kinaendelea ,
1. Ni kuwa kwenye kikao cha mamlaka ya Bandari kilichoketimwezi Machi tayari walishatenga fedha kiasi cha shilingi bilioni kumi za kitanzania kwa ajili ya kuwalipa CCM na baadhi ya wajumbe walipinga sula hilo kwa hoja kuwa hapakuwa na tenda wala utaratibu uliofuatwa ili kuipatia kampuni hiyo ya CCM tenda , kampuni hii inasimamiwa na Peter MAchunde, Sam Mapande et al, na ndio inajenga ukumbi wa kisasa kule Dodoma ( Jitegemee)
2. Chadema , haiwezi kukaa kimya tena mpaka yatokee yale ya Deep Green , Tangold na wenzake ambao unawajua vizuri, sasa kila hatua itafuatiliwa kikamilifu kuelekea 2015 kwani Chadema wanajua kuwa tangu 1995 mmekuwa mkijichotea fedha za walipa kodi kwa ajili ya chaguzi kama ifuatavyo,
1995 ......zimbabwe na Malaysia kwa IPTL .....WAliofanikisha dili hilo ni Marehemu Kolimba na Abdalah Kigoda.
2000.......aggreko, Wartsila, Barrick Gold et all
2005....... BOT kupitia Tangold, Deep Green, Meremeta, wahusika wakuu humu walikuwa Chenge, GRey Mgonja,IMMA Advocates ,et all
2010......elections mnajua mlivyochota Hazina, zikaenda Canada kuchapisha mabango, hamkulipia kodi magari banadarini nk.......
2015 ......mmeqnza na Bandari, Mikataba ya Kichina 17 etc
Yapo mengi nafikiri ni suala la muda tuu.....