wengine walimjibu hivi
6:39pm · LikeUnlike
<LI class="uiUfiComment comment_3162693 ufiItem ufiItem">
Mkwawa Dawara WAKATI UKIFIKA UTAJUTIA KAULI YAKO,NI VIGUMU KUIFUTA KAULI ILIYO MAWAZONI MWA WATU....MAREKANI ALIPOSHAMBULIWA NA MAGAIDI BUSH ALISEMA "NI VITA YA MSALABA",MPAKA ANAONDOKA MADARAKANI AMESHINDWA KUIFUTA KAULI YAKE MAWAZONI MWA WATU..TAZAMA K...AULI ZAKO...BINAFSI SIAMIN MTU MZIMA MWENYE AKILI TIMAMU MFANO WAKO ANAWEZA KUWEKA MANENO YA NAMNA HIYO....USITUDHIHIRISHIE KUA WEWE NDO WALE WALE..UNARITHI MIKOBA YA WALIOKUTANGULIA?
See More
Monday at 6:41pm · UnlikeLike ·
2 peopleLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3162702 ufiItem ufiItem">
Suleiman DAniel Mathias Hivi jamani nikumbusheni siku TISINI (90) au miezi mitatu bado haijaisha tumsikie msanii anakuja na ngonjera gani?maana hawa watu hawana huruma na maisha ya wataznania,kapewa cheo hana muda tena kupigania taifa kabadilika,sijui hajifunzi kwa kijana mwenzie January? Monday at 6:42pm · UnlikeLike ·
1 personLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3162720 ufiItem ufiItem">
Patrick Katefu brother sasa unakoeleke,ni kubaya,nakushauri ukae kimya.dalili zinaonyesha umeanza kufilisika Monday at 6:45pm · UnlikeLike ·
1 personLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3162743 ufiItem ufiItem">
Adelly Ngaya Jamani mambo ya kifo sio ya kudhiaki huyo anajilaani mwenyewe Monday at 6:50pm · LikeUnlike
<LI class="uiUfiComment comment_3162781 ufiItem ufiItem">
Jamaly Ally Hussein ‎" Nakuelewa nape" but naogopa naona saa zingine you go personal! Siungi mkono watu kukaa bila kuzikwa but uhai ni zawadi ya mungu kama polisi watoa uhai wa watu kwa maelezo rahisi tu kama " tulikuwa tunajilinda"! Watu wamepigwa risasi migongoni! Namchukia mtu yoyote anayetoa uhai wa mtu! Iwe ni kwa sababu yoyote but uhai ulindwe! Monday at 6:58pm · LikeUnlike ·
1 personLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3162804 ufiItem ufiItem">
Edward Mollel Acheni atape tape ni stress tu za alama za nyakati hajaskia wakulima wa miwa wa mtibwa wamegoma kuuza miwa yao kwa kunyonywa bora waiteketeze afu eti wawekazi hao wanyonyaji wanaitwa watz...CHADEMA tumaini jipya ndo wivu unapowakera kwamba cdm inathaminiwa na wananchi zaidi ya serikali iliyopo madarakani...!! Monday at 7:01pm · UnlikeLike ·
2 peopleLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3162813 ufiItem ufiItem">
Japhari Shabani Kabla ya kutoa tafsiri ya kikikatuni hicho,ukiwa kama mmoja wa viongozi wa chama tawala ungelijiuliza maswali yafuatayo.Nini kimetokea hadi kufikia vurugu na mauaji hayo?Mauaji hayo na mengine yanayofanywa na vyombo vya usalaama yataendelea... hadi lini?Ni hatua gani zinachukuliwa na vyombo vya usalama vilivyoko chini ya chama tawala?Nani chanzo cha matatizo hayo?Walalahoi au chama tawala kutokana na utawala mbaya na ufisadi?Serikali imeanza lini mpango wa kuwapiga risasi wanaowaitwa majambazi na baadae kutoa msaada wa pesa za mazishi yake????????Ukipata majibu ya maswali hayo utaielewa katuni hiyo.Kama huielewi katuni hiyo NAMASHAKA NA UWEZO WAKO WA KUA KIONGOZI.
See More
Monday at 7:03pm · UnlikeLike ·
4 peopleLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3162836 ufiItem ufiItem">
Ronalld Ngalai Haki kuipata ni ghali. Lazima haki ichukue mkondo wake. Si kazi ya police kuzika, na pia waziri Kagasheki alishanend wale watu 1200 ni majambazi, iweje police waseme si majambazi? Na kwanini risasi za visogoni? Unajua Nape unazidi kutokomea gizani. Monday at 7:09pm · LikeUnlike
<LI class="uiUfiComment comment_3162845 ufiItem ufiItem">
Mwasakafyuka Samson Nape nakusihi tena ! Unacho cha kupoteza ktk umri wako , kua mwangalifu . Unazeeka kabla ya wakati . Pse kuwa na govener. . . . ! Monday at 7:09pm · LikeUnlike
<LI class="uiUfiComment comment_3162860 ufiItem ufiItem">
Davie de Mwaky Mwanzoni nilikuwa nadhani kuwa matatizo ya viongozi Tanzania(hasa CCM) yanatokana na umri wao kuwa mkubwa huku waking'ang'ania madaraka.But now,Nape is proving me wrong.Dayuuum!
Monday at 7:12pm · UnlikeLike ·
2 peopleLoading...
<LI class="uiUfiComment comment_3162875 ufiItem ufiItem">
Steven E Shija Mhe hayo maneno uliyoyasema ni ya kweli au mzaa maana kwa anayefahamu uthamani wa binadamu tena akiwa mauti kwa kitendo cha kusimamisha maiti ati maandamano yapite,kaka naomba uichunguze maana linatia hasira sana kama inafikia watu wanathamini maandamano kuliko utu tunaelekea kubaya,hiyo siyo siasa safi tunayoitaka Watanzania.