Nape JF sio sawa na Facebook

wabongo njaa zitawaua, we sema umepewa ngapi uje hapa ulete ukatuni wako.

Hiyo siyo hoja unaokusumbua ni ule ule ufinyu wa kuchambua hoja! Kama hujaelewa basi! kinachokuuma ninini? Wewe umeng'ang'ania nimepewa ngapi kuliko kuangalia hoja na kujadili hoja, si huwa unajiita mtaalamu wa kujibu kwa hoja? Acha kuzoza kitoto weka hoja!
 
Hawana tofauti na maana ya maneno haya lipo HERI/AFADHALI yote yana maana moja ni kama mazambarau hili limeiva sana hili limeiva kiasi lkn yote mazambarau.

Nikweli make leo inasemekana kibonde katoa lugha isiyofaa studioni!
 

uKIMUIGA tEMBO KUNYA KIMBA KUBWA LAZIMA UPASUKE MSAMBA; aliona akina Dr Slaa, Zitto, Mnyika n.k wanatuamia majina na picha zao naye akaiga. Sasa inamtokea puani yeye na Chama cha Magamba.
 
Kumbuka kwamba, Wana wa Magamba katika kikao chao kilichowateua akina Nepi kuwa viongozi moja ya mikakati waliyojiwekea ni kujiingiza kwenye mitandao ya Kijamii ili waweze kupambana na point za Watanzania wenyeuchungu na Nchi yao ili wao waendelee kuwanyonya wakishirikiana na Mafisadi. Hii ndiyo sababu iliyomrudisha Nepi kwa nguvu kuja kujibu hoja na Kuanzisha thread ambazo kwa Mtazamo wa Ki-CCM wanaona kwamba zinaweza kuzijibu hoja nzito zinazotelewa na watu wenye vichwa vya kuona umbali zaidi ya umbali wa pua zao kama anavyoona Nepi.

Kwa hoja anazotoa Nepi, akizitoa CCM ambapo wenye elimu na ajira za Mashaka ndipo kimbilio lao na kwamba waliopo kule ni wale Yes men/women, zina uzito, lakini zikija huku kwa watu tunaoona mbali tunaona tu ni kama za mtu wa Darasa la tano.
 
Producer mbuzi, ushauri kaa nao mwenyewe, we sema upewa ulfu ngapi na rostam uje ulete upuuzi wako hapa

Haa!!,kumbe ccm mnalipana kuupindisha ukweli?Asante kwa kutuanikia uovu wa ccm yako na watendaji wake thx anyway
 

Nape yuko kwenye mkutano UDOM akitoka tu stand yake ya kwanza ni hapa! atakuja kusoma vyoooooooooote!
 
mimi binafsi kwa kutumia akaunti yake ya facebook huyu bwana nape nimeweza kufanikiwa kujua hata maishayake ya ndani ya familia yake......nimejua ni jinsi gani ana ugomvi na mke wake na anavyo mnyanyasa lakini pia kujua mambo mengi yanayohusu ccm maana nimeweza kuingia hata kwenye mail zake zote anazotumia .........

na kwa kuwa hajui mambo ya technolojia huyu jamaa yaani hajui kitu.........kuna siku ntamlipua sana hadi atashangaa........maambo mengi yako kwenye mail zake na zote ......sasa hivi natafuta namba yake ya simu kama kuna mtu anayo anipm.....
 

Kama ni mwenye kujifunza tayari atajifunza sana tu
 
Hakuna hoja hapa, wewe na ka barua njaa kako ni dalili wazi za kutumwa na Mbulushi, hivi wewe utamshauri nini Nape? Eti producer, mi nakushauri ubadili jina na ujiite muimba taarab.
 

Pointi Nape jitahidi kupitia kila topic
 
Hakuna hoja hapa, wewe na ka barua njaa kako ni dalili wazi za kutumwa na Mbulushi, hivi wewe utamshauri nini Nape? Eti producer, mi nakushauri ubadili jina na ujiite muimba taarab.

Ingekuwa kanisani ungeitwa UMEKENGUKA KIROHO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…