Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
You are hopeless, ccm wamejitia kuvamia hizi social networks waache yawakute unamtahdharisha wa nini? Acha ayakoge matusi hadi avuliwe nguo za ndani
Mimi natoa ushauri kwa Nape siyo kwa CCM!
Kwanza mimi naona nape ni mwepesi mno kwa nafasi aliyopewa, Alitakiwa kwanza kuelewa itikadi ya CCM kabla ya kuanza kuzungumza sana. Sasa amesoma nini kwa Azam. Anasema nini kuhusu azimio la Arusha, ana mtazamo gani kuhusu siasa ya ujamaa. Hii ni kabla ya kurudi kwanye neno Gamba. Huyu kijana ajifunze kujipanga kama akina mnyika na Zito. Amekuwa ni kijana wa kukurupuka, na nina wasiwasi ataachwa katikati kwenye mataa. Mukama ndo hivyo keshamtema, kwamba hakuna aliyepewa siku tisini, sasa amehamia vyama vya upinzani. Vipost vyake kwenye JF ndio kabisaaa, vinamuonyesha alivyo na mapungufu katika falsafa. Ushauri huu ni mzuri, kwa maana anakwenda shimoni.:A S 103:
Nape si unaona watu wanavyokupa feedback, kama unajua kutumia maoni ya watu chukua haya hapa kajifunze kuadaptMuache aendelee kuumpa matumaini Kama mhonjwa wa ukimwi huku akijua aliyoyafanya nyuma.Ktk page zake facebook nimekuwa nikipita huko mara kwa mara hakuna cha maana anachoandika nyingi zimezidiwa na mipasho Kama ya kwenye taarabu.Pili dharau anayoionyesha waziwazi mbele ya jamii kupitia post zake ktk mitandao juu ya viongozi wa upinzani ndio anajimaliza kabisa.Unaleta dharau kwenye vifo vya Wstanzania?nani ataluvumilia na kukupenda?labda punguani.Go to hell ccm go tunaitaka Tanzania yetu
Nape si unaona watu wanavyokupa feedback, kama unajua kutumia maoni ya watu chukua haya hapa kajifunze kuadapt
You are hopeless, ccm wamejitia kuvamia hizi social networks waache yawakute unamtahdharisha wa nini? Acha ayakoge matusi hadi avuliwe nguo za ndani
Acha kupigia maiti gitaa, hawezi kujiadapt coz anatafuta platform mpya baada ya kunyang'anywa ile aliyoingia nayo katika wadhifa mpya ya kuwapa RACHEL siku 90 kujiondoa katika CCM. Alipaswa kujiuzulu baada ya Katibu Mkuu wa CCm kukanusha kuwa hakuna majina yaliyotajwa katika vikao vya CC na NEC ya CCM ilihali Mukama hakuhudhuria vikao hivyo. Badala yake Nape aliishia kulalamika mbele ya wahariri kuwa majina yalitajwa na kuibuka na staili mpya ya kuiponda CHADEMA hakujua kuwa nondo zake za CCJ zilikuwa jikoni. Sasa anatakiwa kujivua Gamba yeye na akina RACHEL kwa kuisaliti CCM.
hajui falsafa ya kujivua gamba itafuatiwa na ya kujivua nguo.
Producer mbuzi, ushauri kaa nao mwenyewe, we sema upewa ulfu ngapi na rostam uje ulete upuuzi wako hapa
Mkuu sijakubaliana na wewe kuhusu kuacha kutumia Mitandao ila namshauri nape atumie kama katibu mwenezi wa ccm, asifanye ujinga kabla hata hajapost anaweza kushauliana na wenzake kwanza! but kwa sasa naona kama yupo chini sana huwezi ukaenda kupata mawazo ya kujenga kwa Nape, anaweza kuangalia post za Zitto Kabwe, Dr Slaa, Mnyika, Malecela jr, n.k halafu awe anapost kama wao na asikimbie kwenye mijadala hiyo, kama afanyavyo sasa. JF SI YA KITOTO KAMA FACEBOOK WALIOPO HUMU NIWATU WANAOJUA MAMBO NA KUYATAFAKALI! sasa inakuwa afadhali ya M.S tena wakati yeye ni Kiongozi, na nibora asingeandika jina lake tujue ni jinga flani hv!Nape si unaona watu wanavyokupa feedback, kama unajua kutumia maoni ya watu chukua haya hapa kajifunze kuadapt
wabongo njaa zitawaua, we sema umepewa ngapi uje hapa ulete ukatuni wako.Kama wewe ndio Nape pole sana maana huwezi kuadvance hata siku moja! Nimeuweka hapa ushauri wako ili hata watu wengine wachangie hoja zikujenge ujirekebishe! Kama unang'ang'ania na hali uliyonayo na huoni kuwa ni ugonjwa na hutaki kupokea feedback ni bora urudi darasani kwanza ukasome Advance Communication.
Umenena kweli kabisa kiongozi!Mkuu sijakubaliana na wewe kuhusu kuacha kutumia Mitandao ila namshauri nape atumie kama katibu mwenezi wa ccm, asifanye ujinga kabla hata hajapost anaweza kushauliana na wenzake kwanza! but kwa sasa naona kama yupo chini sana huwezi ukaenda kupata mawazo ya kujenga kwa Nape, anaweza kuangalia post za Zitto Kabwe, Dr Slaa, Mnyika, Malecela jr, n.k halafu awe anapost kama wao na asikimbie kwenye mijadala hiyo, kama afanyavyo sasa. JF SI YA KITOTO KAMA FACEBOOK WALIOPO HUMU NIWATU WANAOJUA MAMBO NA KUYATAFAKALI! sasa inakuwa afadhali ya M.S tena wakati yeye ni Kiongozi, na nibora asingeandika jina lake tujue ni jinga flani hv!
Producer mbuzi, ushauri kaa nao mwenyewe, we sema upewa ulfu ngapi na rostam uje ulete upuuzi wako hapa