Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Tutafika tu. Mtajileta pole poleWaziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai
Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine.
Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu wote wanataka katiba mpya kwa kuwa kila mmoja anahitaji maisha bora hata yeye anahitaji katiba mpya
Ameyasema hayo katika kipindi cha Dakika 45 ITV, Jumatatu, Machi 6, 2023. Katika kuzungumzia suala la mitandao kuzimwa amesema wala serikali haikuzima mtandao wa ClubHouse
Ndio hapo sasa. Yaani ccm hawataki kukubari kwamba hoja ya Katiba Mpya ilianzishwa na Chadema. Walitarajia iwe wao.Sasa ujadiliane na nani wakati kila kitu kipo wazi toka katiba pendekezwa ya jaji Warioba ikae mbele ya wenye nchi!.
Emu subiri kipindi kiishe tafadhaliWaziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine.
Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu wote wanataka katiba mpya kwa kuwa kila mmoja anahitaji maisha bora hata yeye anahitaji katiba mpya
Ameyasema hayo katika kipindi cha Dakika 45 ITV, Jumatatu, Machi 6, 2023. Katika kuzungumzia suala la mitandao kuzimwa amesema wala serikali haikuzima mtandao wa ClubHouse
Kwahiyo tuache kucomment?Emu subiri kipindi kiishe tafadhali
Mbona unavunja ethics za uandishi wa taarifa?
Kuna mahala wanakaa wanatuchekaWaziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine.
Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu wote wanataka katiba mpya kwa kuwa kila mmoja anahitaji maisha bora hata yeye anahitaji katiba mpya
Ameyasema hayo katika kipindi cha Dakika 45 ITV, Jumatatu, Machi 6, 2023. Katika kuzungumzia suala la mitandao kuzimwa amesema wala serikali haikuzima mtandao wa ClubHouse
Nape amelamba asali ya bhugwi kutoka chadema.Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine.
Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu wote wanataka katiba mpya kwa kuwa kila mmoja anahitaji maisha bora hata yeye anahitaji katiba mpya
Ameyasema hayo katika kipindi cha Dakika 45 ITV, Jumatatu, Machi 6, 2023. Katika kuzungumzia suala la mitandao kuzimwa amesema wala serikali haikuzima mtandao wa ClubHouse.