Thread yeyote inaowasema cdm hapa ikikaa kama hivi basi pengine wenye forum yao hawajaamka....
Nape ni mtoto mdogo sana kuweza kutoa kauli yoyote ya maana juu ya mwanasiasa shupavu kama Dr Slaa hata mtu yeyote mwenye akili akaweza kumuazima sikio juu ya lolote lile.
DR. SLAA AMECHANGANYIKIWA: Nape
Adai amekubuhu kwa utapeli wa kisiasa
Amtuhumu kuiua Chadema
Asema si M4C tena bali ni M4D
Tarehe 28/10/2012 kumefanyika uchaguzi mdogo katika kata 29 kwenye mikoa mbalimbali nchini. Kata hizi zilikuwa wazi kwa sababu mbalimbali, hivyo kwa mujibu wa sheria ililazimika kufanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi wazi.
Ukiacha matukio kadhaa ya vurugu, maeneo mengi uchaguzi umeenda kwa utulivu. Chama Cha Mapinduzi kinawapongeza wote waliofanya uchaguzi kwa amani na utulivu, huo ndio utamaduni wa watanzania, kushindana bila kupigana.
Muhutasari wa matokeo ya jumla unaonyesha kuwa TLP wameshinda kata moja(1), CUF wameshinda kata moja(1), CHADEMA wameshinda kata 5 na CCM imeshinda kata ishirini na mbili(22).
Kwa matokeo haya ambayo kwakweli yanatafisiri pana sana hasa ikizingatiwa kuwa mgawanyo wa kata ulikuwa nchi nzima basi matokeo haya yanatoa ujumbe wa jinsi CCM inavyokubalika nchini kwasasa.
Na pia ni uthibitisho wa kile kilichoitwa M4C(movement for change) kwa Chadema kuwa ni *kiini macho kisichokuwa na matunda chanya bali ni M4D ( movement for dealth). Na hii inatokana na aina ya siasa za hovyo *zinazoambatana na operesheni hii. Bila shaka sauti ya Watanzania kwa aina hii ya siasa imesikika bila kumumunya maneno.
Aidha kwa upande mwingine siasa za uongo,uzushi na ulaghai zilizotumiwa na vyama vya upinzani hasa Dr. Slaa kwenye kampeni hizo imekidhalilisha chama hicho na kudhalilisha utu uzima wa Katibu Mkuu huyo wa Chadema.
Mfano mzuri ni pale ambapo Dr. Slaa bila ya soni alipoamua kumzushia Rais na Mwenyekiti wa CCM kuwa kasafiri mpaka China eti kwenda kumuokoa mwanae ambaye kwa madai ya Dk. Slaa alikamatwa na madawa ya kulevya nchini humo.
Bila aibu Dr. Slaa alizusha uongo huo Tabora kwa wapiga kura huku akijua kuwa ni uongo, lakini hata hivyo uongo huo hauna sehemu kwenye kampeni hizo za udiwani. Wananchi walitegemea kusikia namna ya kutatua kero zao badala yake wakashuhudia mtu mzima akizusha ujinga wa ajabu.
Uongo huu na mwingine mwingi unathibitisha kuwa Dr. Slaa anazeeka vibaya kwani kila anavyoongeza siku hamu na tamaa yake ya kusema uongo ili kujiongezea umaarufu na kujenga chuki kati ya watanzania inaongezeka sana. Hakika TAPELI HUYU WA KISIASA, LICHA YA KUZEEKA VIBAYA SASA ANACHANGANYIKIWA.
Naamini mzigo aliotwishwa na wenzake unamlemea sana, hivyo namshauri awaachie vijana wajaribu kukiokoa chama hicho kinachoporomoka kwa kasi, vinginevyo wana Chadema waanze kuandaa matanga kwa chama chao.
Ukitazama mgawanyo wa ushindi huu utagundua kuwa, pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Slaa kwenda na kupiga kambi kanda ya ziwa ameambulia kata sifuri(0). Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa kutumia gari ya serikali alijikita kusini nako katoka kapa.
Nguvu iliyotumika kutoka kwa vyama vya upinzani hasa Chadema hailingani na ushindi walioupata. Wakati CCM ikiwa busy na chaguzi za ndani ya Chama wao wamezungusha viongozi wa kitaifa nchi nzima na matokeo ndio hayo.
Tunawashukuru sana Watanzania kokote nchini walioendelea kutuamini na kutupa dhamana ya kuendelea kuwaongoza na kutekeleza ilani yetu.
Mwanafunzi anayeshuka maksi zake, haendelei bali anadumaa.hivi kwenye mtihani ukipata asilimia 20 wakati mwaka jana ulikuwa na asilimia 8 utasema umeshinda ati kwa vile maksi zako za mwaka huu ni mara mbili na nusu ya za mwaka uliopita?
dr. Slaa amechanganyikiwa: Nape
adai amekubuhu kwa utapeli wa kisiasa
amtuhumu kuiua chadema
asema si m4c tena bali ni m4d
tarehe 28/10/2012 kumefanyika uchaguzi mdogo katika kata 29 kwenye mikoa mbalimbali nchini. Kata hizi zilikuwa wazi kwa sababu mbalimbali, hivyo kwa mujibu wa sheria ililazimika kufanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi wazi.
Ukiacha matukio kadhaa ya vurugu, maeneo mengi uchaguzi umeenda kwa utulivu. Chama cha mapinduzi kinawapongeza wote waliofanya uchaguzi kwa amani na utulivu, huo ndio utamaduni wa watanzania, kushindana bila kupigana.
Muhutasari wa matokeo ya jumla unaonyesha kuwa tlp wameshinda kata moja(1), cuf wameshinda kata moja(1), chadema wameshinda kata 5 na ccm imeshinda kata ishirini na mbili(22).
Kwa matokeo haya ambayo kwakweli yanatafisiri pana sana hasa ikizingatiwa kuwa mgawanyo wa kata ulikuwa nchi nzima basi matokeo haya yanatoa ujumbe wa jinsi ccm inavyokubalika nchini kwasasa.
Na pia ni uthibitisho wa kile kilichoitwa m4c(movement for change) kwa chadema kuwa ni *kiini macho kisichokuwa na matunda chanya bali ni m4d ( movement for dealth). Na hii inatokana na aina ya siasa za hovyo *zinazoambatana na operesheni hii. Bila shaka sauti ya watanzania kwa aina hii ya siasa imesikika bila kumumunya maneno.
Aidha kwa upande mwingine siasa za uongo,uzushi na ulaghai zilizotumiwa na vyama vya upinzani hasa dr. Slaa kwenye kampeni hizo imekidhalilisha chama hicho na kudhalilisha utu uzima wa katibu mkuu huyo wa chadema.
Mfano mzuri ni pale ambapo dr. Slaa bila ya soni alipoamua kumzushia rais na mwenyekiti wa ccm kuwa kasafiri mpaka china eti kwenda kumuokoa mwanae ambaye kwa madai ya dk. Slaa alikamatwa na madawa ya kulevya nchini humo.
Bila aibu dr. Slaa alizusha uongo huo tabora kwa wapiga kura huku akijua kuwa ni uongo, lakini hata hivyo uongo huo hauna sehemu kwenye kampeni hizo za udiwani. Wananchi walitegemea kusikia namna ya kutatua kero zao badala yake wakashuhudia mtu mzima akizusha ujinga wa ajabu.
Uongo huu na mwingine mwingi unathibitisha kuwa dr. Slaa anazeeka vibaya kwani kila anavyoongeza siku hamu na tamaa yake ya kusema uongo ili kujiongezea umaarufu na kujenga chuki kati ya watanzania inaongezeka sana. Hakika tapeli huyu wa kisiasa, licha ya kuzeeka vibaya sasa anachanganyikiwa.
Naamini mzigo aliotwishwa na wenzake unamlemea sana, hivyo namshauri awaachie vijana wajaribu kukiokoa chama hicho kinachoporomoka kwa kasi, vinginevyo wana chadema waanze kuandaa matanga kwa chama chao.
Ukitazama mgawanyo wa ushindi huu utagundua kuwa, pamoja na katibu mkuu wa chadema dr. Slaa kwenda na kupiga kambi kanda ya ziwa ameambulia kata sifuri(0). Mwenyekiti wa chadema, freeman mbowe kwa kutumia gari ya serikali alijikita kusini nako katoka kapa.
Nguvu iliyotumika kutoka kwa vyama vya upinzani hasa chadema hailingani na ushindi walioupata. Wakati ccm ikiwa busy na chaguzi za ndani ya chama wao wamezungusha viongozi wa kitaifa nchi nzima na matokeo ndio hayo.
Tunawashukuru sana watanzania kokote nchini walioendelea kutuamini na kutupa dhamana ya kuendelea kuwaongoza na kutekeleza ilani yetu.
Kati ya Kata 26 zilizokuwa chini ya CCM, wamepata kata ngapi? Nape acha hesabu za ngumbaru. Pamoja na tume mbovu ya uchaguzi na kutumia green guard na jeshi la polisi na tiss bado kata zimepungua toka 26 mwaka 2010 mpaka 22 mwaka 2012! Na mume wenu Mamvi ndio anapiga jaramba hivyo mwaka huu waropokaji chu.pi zitawabana! Mliomwita Gamba sijui mtakimbia nchi!
Ukitazama mgawanyo wa ushindi huu utagundua kuwa, pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Slaa kwenda na kupiga kambi kanda ya ziwa ameambulia kata sifuri(0). Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa kutumia gari ya serikali alijikita kusini nako katoka kapa.
Nguvu iliyotumika kutoka kwa vyama vya upinzani hasa Chadema hailingani na ushindi walioupata. Wakati CCM ikiwa busy na chaguzi za ndani ya Chama wao wamezungusha viongozi wa kitaifa nchi nzima na matokeo ndio hayo.
sasa kama slaa anaiua chadema kinachomuuma nape ni nini???