Ccm hawezi kuwafanya chochote. Refer, majigambo ya Kapuya, chama ni chao na serikali ni yao, hakuna wa kuwagusa,Moja ya tatizo ambalo limepelekea Wizara ya TAMISEMI ya Hawa Ghasia kuonekana mzigo, ni mtandao wa wizi katika halmashauri nyingi nchini. Lakini inasikitisha kwamba kamati kuu ya ccm IMEKEMEA tu wizi huo badala ya kupendekeza/kushauri wezi hao wafungwe jela. Hii kwa mujibu wa maelezo ya Nape Nnauye alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari.
Kwa kweli kamati kuu haijawatendea haki wananchi wanaokosa huduma za jamii kufuatia ufisadi mkubwa unaofanyika ktk halmashauri. Ni afadhali hata wangelimshauri Rais awaagize hao wezi wamrejeshee fedha walizoiba kama alivyofanya kwa wale wezi wa EPA aliowaagiza wakamrejeshea mabilioni ya fedha za umma walizokuwa wamezikwapua! Ijapokuwa njia hii nayo sio nzuri sana lakini ni nafuu kuliko 'kuwakemea' tu wezi na kuwaachia waendelee kutumbua pesa za umma.
Moja ya tatizo ambalo limepelekea Wizara ya TAMISEMI ya Hawa Ghasia kuonekana mzigo, ni mtandao wa wizi katika halmashauri nyingi nchini. Lakini inasikitisha kwamba kamati kuu ya ccm IMEKEMEA tu wizi huo badala ya kupendekeza/kushauri wezi hao wafungwe jela. Hii kwa mujibu wa maelezo ya Nape Nnauye alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari.
Kwa kweli kamati kuu haijawatendea haki wananchi wanaokosa huduma za jamii kufuatia ufisadi mkubwa unaofanyika ktk halmashauri. Ni afadhali hata wangelimshauri Rais awaagize hao wezi wamrejeshee fedha walizoiba kama alivyofanya kwa wale wezi wa EPA aliowaagiza wakamrejeshea mabilioni ya fedha za umma walizokuwa wamezikwapua! Ijapokuwa njia hii nayo sio nzuri sana lakini ni nafuu kuliko 'kuwakemea' tu wezi na kuwaachia waendelee kutumbua pesa za umma.
nape please okoa jahazi. Muenzi mandela hata kama wana ccm watakuchukia
tutawafunga vipi wakati hao ni wenzetu ?
tutawafunga vipi wakati hao ni wenzetu ?
kwi! Kwi! Kwi! Kwi!mkuu wananchi uvumilivu umewashinda.rip mabina
Thubutu yake ! anataka kitambi kiendelee kumtoka au amekichoka ?Asante sana Nape kwa ushauri wako pls naomba tuanze na Mwizi wa meno ya tembo
Ccm hawezi kuwafanya chochote. Refer, majigambo ya Kapuya, chama ni chao na serikali ni yao, hakuna wa kuwagusa,
Ccm wanacheza na maisha ya Watanzania, Waziri ateuliwe na mtu mmoja ila akifanya makosa ahojiwe na kamati kuu????? Hii iko Tz peke yake,
Ccm nashauri acheni kuoneana aibu chukueni mfano kwa wapinzani wenu Chadema,
kwani mandela alifanyaje zaidi ya kukalia kiti cha urais na kuwasamehe mafisadi wa kizungu waliomwaga damu za waafrika maelfu kwa maelfu. Zaidi alizunguka nchi mbalimbali za afrika akiwashauri wawapokee makaburu kama wawekezaji kwani ni watu wazuri. Kwa mandela tunajifunza uungwana na upendo na kuachana na visasi, kwn visasi ndio chanzo cha vita.
mkuu, wizi wa mali za umma ni tofauti sana na issue ya makaburu--hazifanani hata kidogo.