Nape: Dawa ya Lowassa, Rostam na Chenge tayari imeshachemka

Asema suala la kuwafukuza sasa halina mjadala
Ni baada ya kukaidi amri kujivua gamba
Asisitiza kinachosubiriwa ni taratibu za kuwatema
Pia awonya mafisadi wengine na wezi serikalini
Awajulisha kuwa ccm ndio mwajiri wao
Lengo ni kuinusuru kisiasa isianguke uchaguzi 2015

Dua la kuku halimpati mwewe, Nape ni kama kuku na hao ni Mwewe. Ngoja tuone. Ingawa kuku huwa anaumia, basi tu.
 
Asema suala la kuwafukuza sasa halina mjadala
Ni baada ya kukaidi amri kujivua gamba
Asisitiza kinachosubiriwa ni taratibu za kuwatema
Pia awonya mafisadi wengine na wezi serikalini
Awajulisha kuwa ccm ndio mwajiri wao
Lengo ni kuinusuru kisiasa isianguke uchaguzi 2015

Ingawa tunataka kusikia hivyo lakini sivyo ilivyo.Hawafukuzwi watu kwa sababu Nape kasema. CCM wana utaratibu wao wa vikao ndio vinaengua uwanachama, si kelele za wapayukaji kwenye makutano ya barabara.Wakina Nape ni fortune hunter mtaji wao ni kufungua mdomo hata kama hawajauganisha ubongo.
 
Naamini kejeli hizo hazina mud a zitageuka aibu ya watoaji. Nimemsikia Mkama Leo kamaliza mzizi WA fitina, kasema mafisadi wataondoka CCM, pooh Nape vuvuznela hay a sass AIBU
 
Wale waliouliza source yote, habari nzima iko kwenye scan hii
 
Attachments

  • Nape.jpg
    Nape.jpg
    503.9 KB · Views: 31
Mhe. Nape tumechoka kusikia habari za kufukuzwa hawa mafisadi, CCM hailazimishwi kuwafukuza, wananchi wataamua 2015.
 
Nionavyo mimi; RACHEL hawatafukuzwa na baadala yake Nape na Mkama watajisikia aibu na wataamua kujitoa wao wenyewe
 
Asema suala la kuwafukuza sasa halina mjadala
Ni baada ya kukaidi amri kujivua gamba
Asisitiza kinachosubiriwa ni taratibu za kuwatema
Pia awonya mafisadi wengine na wezi serikalini
Awajulisha kuwa ccm ndio mwajiri wao
Lengo ni kuinusuru kisiasa isianguke uchaguzi 2015

Nape anavuta bangi!! si kweli kuwa CCM ndio mwa ajili wa wafanyakazi wa serikali huo ni uongo mkubwa sana lau kwa Nape ana uwezo mdogo hajui au?
 
tatizo la Watanzania sio Lowassa,Chenge or Rostam...NI CHAMA CHOTE CHA MAPINDUZI(CCM) they must go kama tunataka kwenda mbele,dawa ni kuwapiga chini wote hao akiwemo huyo NAPE,angalia Kenya sasa baada ya kuipiga KANU chini, nchi sasa inaona mabadiliko ya ukweli,vitu viwili kwenye agenda lazima vifanyike kuokoa nchi ni lazima CCM iondoke na KATIBA mpya iandikwe!
 
Hakuna lolote hapo kwa Mzee wa "Hili linazungumzika" hiyo Dawa sana sana itakaukia jikoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom