Nape: Chadema wanatabia ya nguruwe ya kula watoto wake

Taswira

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
1,198
Reaction score
452
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Saumu Kisena akionyesha kitambulisho chake cha kazi ,Saumu ameitumikia Chadema kwa miaka tisa lakini ameshindwa kupata haki zake za msingi kama mfanyakazi, na hivyo ameamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika Temeke, chama kinachojali kila Mtanzania,
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amewataka vyama vya upinzani na hasa Chadema kuacha kulialia kila siku badala yake wajipange kutoa upinzani wa kweli badala ya maigizo wanayoyafanya.

[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Saumu Kisena ajiunga rasmi na CCM akitokea Chadema ambapo alifanya kazi kwa miaka tisa na hakupata haki zozote.
Pia alieleza namna alivyodhulumiwa haki zake kutokana na kutofautiana na katibu mkuu wa Chadema Dr.slaa

[TD="class: tr-caption, align: center"]Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi akihutubia wakazi wa eneo la Temeke .[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mkutano huo umeandaliwa na CCM mkoa wa Dar es salaam kwa lengo la kujibu mapigo ya Chadema waliofanya mkutano wao siku ya jumapili.

Nape alisema, " watani zangu acheni kujiliza kila siku, mnaishia kulialia tu. Mmekuja mwembe yanga nikadhani mna jambo la maana,kumbe kulialia tu! Yaani miaka ishirini ya vyama vingi bado mnajiliza tu? Mtakua lini?"

Nape akawndelea kusema kuwa uteuzi wa kamati kuu ya CCM ni ishara kuwa kazi imeanza,hivyo kujiliza kwao hakuta irudisha nyuma CCM.
" Tumekamilisha uchaguzi na upangaji wa safu ndani ya chama. Safu hii ina kazi kubwa mbili, kwanza kusukuma utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ili kuboresha maisha ya watanzania na kazi ya pili ni kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo 2014 na 2015"! Alisisitiza Nape

Akasema Chadema wameshindwa kukomaa mpaka sasa hata baada ya miaka 20 ya mfumo wa vyama vingi kwasababu wana tabia ya nguruwe ya kula watoto wake yenyewe.
" hawa watani kinachowamaliza ni kuwa na tabia ya nguruwe, nguruwe akishazaa watoto, akishikwa njaa hula watoto wake mwenyewe, sasa wao kila kukicha wanakula watoto wao wenyewe watakomaa lini?"alihoji Nape.

CHANZO:CCM BLOG
 
Tofauti yenu magamba na CDM, ninyi Ma-ccm vita yenu ni juu ya CDM na watu wake wakati CDM wao vita yao ni juu ya Mafisadi, utawala dhalimu, sheria kandamizi kwa wa-Tz na mapambano ktk kuwatetea wanyonge ambao hawana wa kuwasemea.
 
CCM bwana, wameacha kuhangaika na utatuzi wa kero za wananchi wanaamua kudeal na CHADEMA!
 
"Saumu Kisena akionyesha kitambulisho chake cha kazi ,Saumu ameitumikia Chadema kwa miaka tisa lakini ameshindwa kupata haki zake za msingi kama mfanyakazi, na hivyo ameamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika Temeke, chama kinachojali kila Mtanzania", halikuwa halipwi mshahara kwa muda wa miaka tisa?si kuna mamlaka husika ambazo zinahusika na hayo mambo halishawasilisha madai yake huko?Kwahiyo CCM wamemwajiri na kukubali kumlipa haki zake zote?Hao CCM kupitia serikali yake wanaowajali wananchi wazee wa EAC walishawalipa madai yao?Ma DR,WALIMU na wafanyakazi wa umma,mikopo ya wanafunzi....Au ndiyo sifa za kijinga?
 
Hii tabia ya kutunga story za uongo itawagharimu sana.Mtu anafukuzwa kwa makosa mengine halafu mnatunga uongo

Siasa za majitaka za aina hii zinafanywa na kijana kama Nape zinadhalilisha vijana. We are already in gutter with any administration from CCM.We should spend more of our time and energy focusing on the many issues of Tanzania and planning how to get this old school thieving politicians out of the system. Social media has changed governments around the world so why cant we use JF to change the politics of Tanzania

The interest and agendas of thieves and traitors that are the core problems of Tanzania. They are total failures and their sole manifesto is looting. Anybody that takes them seriously is on the fast track of doom.
 
vijana wa gongolamboto wananipa raha sana!!. . . .NAPE kamwaga pesa kinoma!!!!watu wamemchezea kiini macho kwa kuigiza kujiunga CCM!!!!....looh!
 
Tanzania bila ya CCM haiwezekani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani Sekretari ana uzito gani wa kisiasa jamani hadi apandishwe jukwaani kwa mbwembwe kiasi kile? Halafu,Swaumu kweli,kwa jinsi alivyo,ndio alazimishwe mapenzi na KM? Kweli jamani?
 
Mkuu hata mimi nimeshangaa sana hizo tuhuma,kwa muda wote huo alikuwa anavumilia tuu wala hakulalamika!

Hana hadhi hiyo.
 
Kwani wastaafu wa East Africa wameshalipwa??? Mbona mpaka leo wanawapiga mabomu??? Inasikitisha jambazi sugu uaji linapojitia eti lina huruma kwa mtu ambaye kadhulumu mali ya mtu kidogo wakati lenyewe limeshadhulumu maelfu na maelfu!!

Tuachane na usanii,
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Saumu Kisena akionyesha kitambulisho chake cha kazi ,Saumu ameitumikia Chadema kwa miaka tisa lakini ameshindwa kupata haki zake za msingi kama mfanyakazi, na hivyo ameamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika Temeke, chama kinachojali kila Mtanzania,
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amewataka vyama vya upinzani na hasa Chadema kuacha kulialia kila siku badala yake wajipange kutoa upinzani wa kweli badala ya maigizo wanayoyafanya.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Saumu Kisena ajiunga rasmi na CCM akitokea Chadema ambapo alifanya kazi kwa miaka tisa na hakupata haki zozote.
Pia alieleza namna alivyodhulumiwa haki zake kutokana na kutofautiana na katibu mkuu wa Chadema Dr.slaa

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi akihutubia wakazi wa eneo la Temeke .[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mkutano huo umeandaliwa na CCM mkoa wa Dar es salaam kwa lengo la kujibu mapigo ya Chadema waliofanya mkutano wao siku ya jumapili.

Nape alisema, " watani zangu acheni kujiliza kila siku, mnaishia kulialia tu. Mmekuja mwembe yanga nikadhani mna jambo la maana,kumbe kulialia tu! Yaani miaka ishirini ya vyama vingi bado mnajiliza tu? Mtakua lini?"

Nape akawndelea kusema kuwa uteuzi wa kamati kuu ya CCM ni ishara kuwa kazi imeanza,hivyo kujiliza kwao hakuta irudisha nyuma CCM.
" Tumekamilisha uchaguzi na upangaji wa safu ndani ya chama. Safu hii ina kazi kubwa mbili, kwanza kusukuma utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ili kuboresha maisha ya watanzania na kazi ya pili ni kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo 2014 na 2015"! Alisisitiza Nape

Akasema Chadema wameshindwa kukomaa mpaka sasa hata baada ya miaka 20 ya mfumo wa vyama vingi kwasababu wana tabia ya nguruwe ya kula watoto wake yenyewe.
" hawa watani kinachowamaliza ni kuwa na tabia ya nguruwe, nguruwe akishazaa watoto, akishikwa njaa hula watoto wake mwenyewe, sasa wao kila kukicha wanakula watoto wao wenyewe watakomaa lini?"alihoji Nape.

CHANZO:CCM BLOG

Hayo Mafuso na hizo mini bus hapo yamefuata nini? au ndo ile ya kwenda kubeba wahudhuria mkutano toka Bagamoyo na kisarawe? MaccM bana taabu kwelikweli
 
Miaka tisa hajapata haki!!? basi alikuwa anaishi kwa kujiuza acha uongo wewe c..h..a.ngu
 
CCM bwana, wameacha kuhangaika na utatuzi wa kero za wananchi wanaamua kudeal na CHADEMA!

We waache tu, wamesahahu kuwa walituahidi Machinga complex kila wilaya, sasa hivi badala ya kujenga hizo machinga complex wanaongeza wilaya, 2015 sijui watatoa tathmini gani ya utekelezaji wa ahadi hewa. SIE YETU MACHO
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Saumu Kisena akionyesha kitambulisho chake cha kazi ,Saumu ameitumikia Chadema kwa miaka tisa lakini ameshindwa kupata haki zake za msingi kama mfanyakazi, na hivyo ameamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika Temeke, chama kinachojali kila Mtanzania,[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amewataka vyama vya upinzani na hasa Chadema kuacha kulialia kila siku badala yake wajipange kutoa upinzani wa kweli badala ya maigizo wanayoyafanya.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Saumu Kisena ajiunga rasmi na CCM akitokea Chadema ambapo alifanya kazi kwa miaka tisa na hakupata haki zozote.
Pia alieleza namna alivyodhulumiwa haki zake kutokana na kutofautiana na katibu mkuu wa Chadema Dr.slaa
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi akihutubia wakazi wa eneo la Temeke .[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mkutano huo umeandaliwa na CCM mkoa wa Dar es salaam kwa lengo la kujibu mapigo ya Chadema waliofanya mkutano wao siku ya jumapili.

Nape alisema, " watani zangu acheni kujiliza kila siku, mnaishia kulialia tu. Mmekuja mwembe yanga nikadhani mna jambo la maana,kumbe kulialia tu! Yaani miaka ishirini ya vyama vingi bado mnajiliza tu? Mtakua lini?"

Nape akawndelea kusema kuwa uteuzi wa kamati kuu ya CCM ni ishara kuwa kazi imeanza,hivyo kujiliza kwao hakuta irudisha nyuma CCM.
" Tumekamilisha uchaguzi na upangaji wa safu ndani ya chama. Safu hii ina kazi kubwa mbili, kwanza kusukuma utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ili kuboresha maisha ya watanzania na kazi ya pili ni kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo 2014 na 2015"! Alisisitiza Nape

Akasema Chadema wameshindwa kukomaa mpaka sasa hata baada ya miaka 20 ya mfumo wa vyama vingi kwasababu wana tabia ya nguruwe ya kula watoto wake yenyewe.
" hawa watani kinachowamaliza ni kuwa na tabia ya nguruwe, nguruwe akishazaa watoto, akishikwa njaa hula watoto wake mwenyewe, sasa wao kila kukicha wanakula watoto wao wenyewe watakomaa lini?"alihoji Nape.

CHANZO:CCM BLOG

Waimba taarabu bwana! Mashairi yao hayanogi bila kuweka kibwagizo cha CHADEMA. Leo hii wanasema CHADEMA haija komaa hata baada ya miaka 20 ya mfumo wa vyama vingi. Mbona hawazisemi UDP, ADC, n.k? Au hivyo ndiyo vime komaa? Kila mwana MAGAMBA ili hotuba yake ipigiwe makofi ni lazima aitaje CHADEMA zaidi ya CCM yake. Halafu leo NAPE anasema haija komaa.

Yeye si awaache hao CHADEMA ambao hawaja komaa wajijue wenyewe na hasara yao ya chama kisicho komaa!!!!??? CHADEMA inawatesa kwa kwenda mbele halafu anatuletea taarabu hapa! Au hajamsikia M/kiti wako akitoa maagizo kwa wazee wa vitu vyenye ncha kali kwamba wadhibiti mwendo mdundo wa CHADEMA?

Yey na asubirie ngoma ya 2015 ndiyo atajuwa kwamba CHADEMA imekomaa kisawa sawa. Halafu anajuwa moto utakao washwa hapo. Kila mtu kwa makosa yake kubeba MTONDOO.
 
Back
Top Bottom