Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,908
- 46,427
Kwani wastaafu wa East Africa wameshalipwa??? Mbona mpaka leo wanawapiga mabomu??? Inasikitisha jambazi sugu uaji linapojitia eti lina huruma kwa mtu ambaye kadhulumu mali ya mtu kidogo wakati lenyewe limeshadhulumu maelfu na maelfu!!
Tuachane na usanii,
Waimba taarabu bwana! Mashairi yao hayanogi bila kuweka kibwagizo cha CHADEMA. Leo hii wanasema CHADEMA haija komaa hata baada ya miaka 20 ya mfumo wa vyama vingi. Mbona hawazisemi UDP, ADC, n.k? Au hivyo ndiyo vime komaa? Kila mwana MAGAMBA ili hotuba yake ipigiwe makofi ni lazima aitaje CHADEMA zaidi ya CCM yake. Halafu leo NAPE anasema haija komaa.
Yeye si awaache hao CHADEMA ambao hawaja komaa wajijue wenyewe na hasara yao ya chama kisicho komaa!!!!??? CHADEMA inawatesa kwa kwenda mbele halafu anatuletea taarabu hapa! Au hajamsikia M/kiti wako akitoa maagizo kwa wazee wa vitu vyenye ncha kali kwamba wadhibiti mwendo mdundo wa CHADEMA?
Yey na asubirie ngoma ya 2015 ndiyo atajuwa kwamba CHADEMA imekomaa kisawa sawa. Halafu anajuwa moto utakao washwa hapo. Kila mtu kwa makosa yake kubeba MTONDOO.
[TABLE="class:
tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align:
center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Saumu Kisena
akionyesha kitambulisho chake cha kazi ,Saumu ameitumikia Chadema kwa
miaka tisa lakini ameshindwa kupata haki zake za msingi kama
mfanyakazi, na hivyo ameamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara
uliofanyika Temeke, chama kinachojali kila
Mtanzania,
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Itikadi na
Uenezi Ndg. Nape Nnauye amewataka vyama vya
upinzani na hasa Chadema kuacha kulialia kila siku
badala yake wajipange kutoa upinzani wa kweli badala ya maigizo
wanayoyafanya.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align:
center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Saumu Kisena
ajiunga rasmi na CCM akitokea Chadema ambapo alifanya kazi kwa miaka
tisa na hakupata haki zozote.
Pia alieleza namna alivyodhulumiwa haki zake kutokana na kutofautiana na
katibu mkuu wa Chadema Dr.slaa
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align:
center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Katibu wa NEC
,Itikadi na Uenezi akihutubia wakazi wa eneo la Temeke .[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkutano huo umeandaliwa na CCM mkoa wa Dar es salaam kwa lengo la kujibu
mapigo ya Chadema waliofanya mkutano wao siku ya jumapili.
Nape alisema, " watani zangu acheni kujiliza kila siku, mnaishia
kulialia tu. Mmekuja mwembe yanga nikadhani mna jambo la maana,kumbe
kulialia tu! Yaani miaka ishirini ya vyama vingi bado mnajiliza tu?
Mtakua lini?"
Nape akawndelea kusema kuwa uteuzi wa kamati kuu ya CCM ni ishara kuwa
kazi imeanza,hivyo kujiliza kwao hakuta irudisha nyuma CCM.
" Tumekamilisha uchaguzi na upangaji wa safu ndani ya chama. Safu hii
ina kazi kubwa mbili, kwanza kusukuma utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi
ili kuboresha maisha ya watanzania na kazi ya pili ni kuhakikisha CCM
inashinda kwa kishindo 2014 na 2015"! Alisisitiza Nape
Akasema Chadema wameshindwa kukomaa mpaka
sasa hata
baada ya miaka 20 ya mfumo wa vyama vingi kwasababu wana tabia ya
nguruwe ya kula watoto wake yenyewe.
" hawa watani kinachowamaliza ni kuwa na tabia ya nguruwe, nguruwe
akishazaa watoto, akishikwa njaa hula watoto wake mwenyewe, sasa wao
kila kukicha wanakula watoto wao wenyewe watakomaa lini?"alihoji Nape.
CHANZO:CCM BLOG
Hivi hili jina nape ni kifup au kirefu mbona akili zake kama kuku? Yeye na chama chake mapumbavu mazezeta kazi ni dhuluma wamebadlisha mali ya umma kuwa ya chama na wasubiri laana mda c mrefu. Hao wanaorud ccm watajuta!Nautafuta ule uzi wa baba yake Nape siuoni....
Una akili sanaNape 'sikupendi'
Ya kweli haya ndugu yangu? Mbona makubwa jamani.... Iki chama vipi?Re: Dodoma: UVCCM wafukuzana, Paul Makonda afukuzwa ujumbe Baraza Kuu TaifaKikao cha baraza kuu uvccm kinaendelea saizi katika ukumbi wa nec wajumbe wamempa mwenyekiti wa uvccm taifa sadifa condition zifuatazo lasivyo watamngoa (1)aombe radhi hotuba Yake ya Jana haikua ya kiuungwana (2) aombe radhi kumfukuza Jamal naibu karibu mkuu Zanzibar alivunja kanuni (3) afute uteuzi wa wakuu wa idara aliowateua Jana alivunja kanuni (4) yeye na Makamu mboni mhita waache Tabia ya kuzungukana (5) amuombe radhi mwenyekiti wa uvccm mkoa wa iringa dada tumaini kwa kumdhalilisha kijinsia alimtaka kimapenzi tumaini akamkatalia Jana kwenye kikao cha baraza sadifa akaamua kumdhalilisha dada tuma nae akasimama akasema yeye in binti wa kihee hayupo tayari kuona anadhalilishwa akaamua nae kumwaga mboga kwa kuwaonyesha wajumbe we baraza kuu uvccm message alizokuwa anatumiwa na sadifa za map enzi. " ukimwaga ugali nami sasa namwaga mboga (6) aheshimu viongozi wenzie asifokee Watu (7)afute uteuzi wa wajumbe wawili wa baraza aliowateua kwa kuwa ni Mashoga, Kuteua Mashoga ni kukidhalilisna chama ccm kitaonekana ni chama cha Mashoga kwa maana hata yeye mwenyekiti sadifa ni Shoga kuongeza nafasi za uteuzi kwa Mashoga hauleti uwiano wa uwakilishi wa makundi ya jamii.nitaendelea kuwajulisha yanayoendelea.....Last edited by Agwambo; Yesterday at 16:32.
Kuna wanyama kadha wa kadha ambao wanakula watoto wao. Nape amemtumia nguruwe kwa sababu % kubwa ya hadhira ya hapo hawali nguruwe. Ni next level technique ya kusisitiza udini.Akasema Chadema wameshindwa kukomaa mpaka sasa hata baada ya miaka 20 ya mfumo wa vyama vingi kwasababu wana tabia ya nguruwe ya kula watoto wake yenyewe.