Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

Hizo ni siasa zenu za ugombanishi mnachoma makanisa mnawasingizia waislaam ili mtugombanishe waislam na wakristo ili muendelee ufisadi wenu hamtuwezi sasa ni Ukawa kwa kwenda mbele
 
Kama hata Nape anakushinda namna ya kuibua propaganda basi wewe ni zaidi ya masaburi.
 
Mm kama mwandishi wa habari kazi yangu ni kuhabarisha. Habari ndio hiyo na imemek headline kama hivyo.
 
DOMO LIMENENA !!!MIMI BINAFSI NI CCM DAMU LALINI NAOMBA NISEME UKWELI CDM HAIWEZI FANYA UPUUZI WA AINA HIYO KATU, it may be ni mbinu chafu za domo / MGOMBEA ANAYEKUBALIKA NI LAZIMA APEWE KIPAUMBELE NO WAY OUT!! ndani ya ccm fullstop!!!
 
Auze sera za chama chake na asihangaike aachane ma chadema sisi wananchi tunamuuliza CCM imetufanyianini? Imewezaje kusimamia rasilimali za nchi? Wamezaje kulinda majambazi wa fedha za umma? Nashangaa anahangaika na CHADEMA ambao hawa mamlaka ya kuongoza nchi. Jamani huyu mbulula simuelewi unajua.
 
Nape anadhani watanzania wajinga,
Polisi wapo wanakesha siku zote kuwalinda watumishi.
Kama chama hakiwezi kuingia madarakani kikaja na watumishi wa kila idara toka kisiwa fulani, Chadema kinawaamini watumishi hawa ambao wamekosa serikali makini ili mawazo yao ya kuijenga nchi kwa nini iwadhuru?,

Imekuwa kawaida yenu,unapokaribia uchaguzi kuanza kuwatisha watumishi na wengine kuwatoa muhanga kwa faida ya ccm.Tunaujua mpango huo ccm wajue hilo,walianza kuua Arumeru,Singida na Igunga,kisha wakasema ni chadema.
miaka ya nyuma vyama vilikuwa vichanga kwa kila mbinu zenu,sasa tunawafuatilia
 
Mm kama mwandishi wa habari kazi yangu ni kuhabarisha. Habari ndio hiyo na imemek headline kama hivyo.


Ikiwa wewe ni mwanfishi wa habari wewe ni kanjanja,no research no right to say"
Umewauliza watumishi wa wizara ngapi?, umewauliza watumishi wa halmashauri japo hata tatu kwa watu 10 wenye ngazi tofauti wakakwambia kuwa ni kweli ndipo uripoti?
Waandishi wa kitanzania,kwa nini hamjifunzi hata kwa Waandishi wa BBC,CNN,au STV net?
 
Ccm isishughulike na uongo,imepewa kazi tangu 2010 hadi leo inawajibu wa kutekeleza ahadi 89 walizowaahidi wananchi,
Waliahidi meli kubwa kule Mwanza,Nyasa,Malagarasi,na Mtwara,
Aliahidi mashine za kisasa kwenye hospitali zote za rufaa nchini,Waliahidi nyumba 3000 za walimu nchi nzima,Waliahidi Mishahara ns kufuta kabisa ombaomba ya nchi yetu nje,waliahidi kukusanya kodi japo walikili chini ya Pius Msekwa kuwa rushwa imeota mizizi ndani ya ccm.Tunawasubiri mtoe hesabu
 

Hiyo ni intelijensia ya kundi lipi? Njaa yako inakufanya ufanye mambo ya ajabu kiasi hiki? This is astonishing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…