Nape: CCM imeweza kuzuia "mafuriko" kwa mkono

Nape: CCM imeweza kuzuia "mafuriko" kwa mkono

Samahani Dada yangu mussassu inawezekana mimba changa inakusumbua
 
Ifike wakati mzee huyu mmwache hata muda kidogo apumzike, maana imekuwa kila dakika Lowassa. Yeye mwenyewe hasemi neno lakini kila dakika Lowassa, akienda sehemu tu Lowassa kahamia huku, jamani hii sasa balaa. Mtu akienda kumsalimia tu, aah Lowassa ameita kikao, hivi yeye yuko kifungoni mpaka asitakiwe hata kuongea na watu. Ni vema akaachwa aseme mwenyewe kuliko hali inayoendelea ya kumsemea hata ambayo yeye hajasema.

Mara ooh mke wa Lowasssa kazuia watu kwenda nyumbani. Jamani si muende hata kwa wanasiasa wengine mkaandike matukio yao?
 
Nape ndio Adui na Mamluki aliewekwa na Familia no.1 kuharibu Chama na Nchi. Hizo kauli hazina hadhi ya kutoka kwenye Kinywa cha Msemaji wa Chama kikongwe barani Afrika
 
Back
Top Bottom