Nape: CCM imeweza kuzuia "mafuriko" kwa mkono

Nape: CCM imeweza kuzuia "mafuriko" kwa mkono

Huyu Nape ana mdomo mchafu mno..kama anao ujasiri atoe mkanda wa video wa kamati kuu unaoonyesha mjadala mpaka kukatwa majina na kubaki matano. Kwa upuuzi huu wa Nape mimi pia nimehama chama sasa kama waliweza kuzuia mafuriko kwa mikono na wazuie hii gharika ya wanachama kuhama kwa mikono . na hakika mwaka huu ccm wataanguka kuanzia udiwani mpaka urais. Kwako nape mimi nitakutafuta baada ya oktoba 25 ili utoe neno
Chama cha Mapinduzi(CCM) kimewatakila kila la kheri wanachama wake waliotangaza kutogombea,wanaotaka kuhama na waliohama chama hicho.

Pia,Nape amesema CCM imeweza kuzuia mafuriko kwa mkono ila anashangaa wanahabari hili hawalisemi wakati mtia ni mmoja aliposema huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono wanahabari waliandika sana ila baada ya CCM kuzuia mafuriko kwa mkono waandishi wa habari hawasemi.

Chanzo: Nipashe

My take:

Lowassa,kwa kauli hizi,ni wazi CCM huna thamani tena licha ya kukaa kwako kimya wakati wa kashifa ya Richmond ili kuikoa serikali ya chama chako isianguke.

Mr. Lowassa,be bold and do the right thing now and not tomorrow or even the day after tomorrow.
 
Lowassa...come out...speak out..loudly...

Be fast...ushatukanwa, onewa, fedheheshwa vya kutosha, hama CCM sasa, na UWE UKAWA rasmi, na huyu mtoto mdogo sana Nape, hawezi kukudharau kiasi hiki, umkomeshe ktk jukwaa la kampeni na kuibomoa CCM..

Lowassa, ukimya ukizidi SIO BUSARA NI UJINGA, kuna wakati wa kukaa kimya, ila sio ktk hali hii yako tunayoona...!!!

Sema sasa, ingiwa ukawa, sio huoni huyu mtoto Nape kashasema, wanaotaka kuhama waondoke...

Please Lowassa, unajipanga nn...? Time is
running out..!!

Acha kutoa ushauri wa kipuuzi ili tu watotowako na mkewako aende chooni..muache akae kimya, afterall....silence is always golden
 
Huyu Nape ana mdomo mchafu mno..kama anao ujasiri atoe mkanda wa video wa kamati kuu unaoonyesha mjadala mpaka kukatwa majina na kubaki matano. Kwa upuuzi huu wa Nape mimi pia nimehama chama sasa kama waliweza kuzuia mafuriko kwa mikono na wazuie hii gharika ya wanachama kuhama kwa mikono . na hakika mwaka huu ccm wataanguka kuanzia udiwani mpaka urais. Kwako nape mimi nitakutafuta baada ya oktoba 25 ili utoe neno

Naona umeathirika sana baada ya kusikia Baba Yoyoo ametengenezwa....We ondoka tuu hatukuhitaji...wafuate wajombazako safarini
 
CCM imekuwa kama meli isiyo na Naodha tokea Nape awe Katibu wa Itikadi na Uenezi. Kitendo cha baadhi ya vijana wa CCM kuwadharau, kuwatukana na kuwapiga baadhi ya wazee wa ccm kimekifanya chama kionekane ni kichaka cha wahuni.
 
CCM chini ya Kikwete imekuwa kama kijiwe cha kawaha!
 
Lowassa...come out...speak out..loudly...

Be fast...ushatukanwa, onewa, fedheheshwa vya kutosha, hama CCM sasa, na UWE UKAWA rasmi, na huyu mtoto mdogo sana Nape, hawezi kukudharau kiasi hiki, umkomeshe ktk jukwaa la kampeni na kuibomoa CCM..

Lowassa, ukimya ukizidi SIO BUSARA NI UJINGA, kuna wakati wa kukaa kimya, ila sio ktk hali hii yako tunayoona...!!!

Sema sasa, ingiwa ukawa, sio huoni huyu mtoto Nape kashasema, wanaotaka kuhama waondoke...

Please Lowassa, unajipanga nn...? Time is
running out..!!

CCM wanafiki sana,majukwaani wanahubiri makundi yameisha na sasa CCM ina kundi moja tu ila kauli za msemaji wa chama ni kinyume na matamshi yao na cha ajabu chama hakijawahi kumkana wala kumkemea!

Eti chama kikongwe!!!
 
Nape unaonekana unapenda sana kutumia mikono kufanya vitu visivyohitaji mikono :
Goli umesema utafunga kwa mkono, mafuriko nayo eti utazuia kwa mkono si ajabu hata vitu vya siri vyote unatumia mkono kufanya!
 
Nape huwa anaongea ukweli na anachokiongea ndicho Kinana na JK wamemtuma asrme hivyo..Na Kinana alishawahi kumwambiaMgeja na Msindai kuwa anachokisema Nape ndio kauli ya chama..Hukumbuki alishawahi kusema kuhusu goli la mkono na limeanza kwa Lowasa...? Goli la mkono uchaguzi huu upo maana hata refa mwenyewe tayari ni Kipofu..
 
wapenzi wa ccm ka mkijua kuwa Nape atakiua chama nyie subirini muone
 
Nape mwenyewe anagombea Mtama. Hajajua kama atashindwa ama atashinda-akomae kwanza kwenye Jimbo lake ndio aanze kurusha mate.
 
* Kwa nje anasema kila kitu kipo sawa...lakini kwa ndani hali ya chama tawala ni mbaya....

Nape anasema hivyo ili aonekane chama kipo sawa. Awashawishi wana CCM kuwa chama kipo sawa.
Hali ni mbaya CCM.
 
Lowassa awe bold ili iweje,kwanini wapambe mnapenda kumshurutisha huyu mzee aseme yasiyo stahili,nafikiri mungekuwa mumeyashika maneno ya busara aliyosema Amani Abeid Karume,alisema mkizidi kudai maelezo yatolewe kwanini mtu wetu kakatwa ,basi yatatoka ambayo hata hamuyajui na ambayo yatamkosesha staha hata hiyo aliyonayo huyo aliyekatwa,watu sio wajinga kama mnavyodhani,hata Lowassa naye sio mjinga kama mnavyodhani,wapambe huu ni muda wa kuangalia shughuli nyingine,mambo ya kumtegemea Lowasa awape kiki kwa sasaishakuwahistoria mwacheni Lowasa apumzike,Tanzania bila Lowasa inawezekana,pia msisahau miluzi mingi hupomtezea mbwa timing,atawasikiliza wangapi?

Kwaani hayo mengine na yapi? au na zile tuhuma za mwakyembe ni za kweli?
 
Duppy Conqueror nimeondoka na sijaathirika kwa lolote zaidi ya kuona misingi iliyowekwa inakiukwa kwa makusudi na kwa nguvu zote. tutakutana oktoba 25 katika safari hii hii ya matumaini lakini matumaini ya uhakika na haki
Naona umeathirika sana baada ya kusikia Baba Yoyoo ametengenezwa....We ondoka tuu hatukuhitaji...wafuate wajombazako safarini
 
Nape ameonyesha dharau kubwa sana kwa Lowassa!
 
Lowassa awe bold ili iweje,kwanini wapambe mnapenda kumshurutisha huyu mzee aseme yasiyo stahili,nafikiri mungekuwa mumeyashika maneno ya busara aliyosema Amani Abeid Karume,alisema mkizidi kudai maelezo yatolewe kwanini mtu wetu kakatwa ,basi yatatoka ambayo hata hamuyajui na ambayo yatamkosesha staha hata hiyo aliyonayo huyo aliyekatwa,watu sio wajinga kama mnavyodhani,hata Lowassa naye sio mjinga kama mnavyodhani,wapambe huu ni muda wa kuangalia shughuli nyingine,mambo ya kumtegemea Lowasa awape kiki kwa sasaishakuwahistoria mwacheni Lowasa apumzike,Tanzania bila Lowasa inawezekana,pia msisahau miluzi mingi hupomtezea mbwa timing,atawasikiliza wangapi?

Well spoken!
 
Wanajitapa kuwa wamezuia mafuriko kwa kidole kimoja lkn walivyokuwa punguani hawajui kuwa maji bado yanavuja na kila mtu mwenye akili timamu analijua hili,na huo ndio mwanzo wa CCM kufa kibudu,Lowassa tunasubiri kauli yako tu,tunasubiri mipango yako tu ili sisi tutekeleze tu,tutakufuata popote uendapo ktk uwanja wa siasa.CCM imekuonea sana,imekudhalilisha sana na imekukata bila kukusikiliza .Fanya hima mzee,fanya kweli mzee,twende mzee,tunakusubiri mzeeeeeeeeee!Tunalia mzeeeeeeeeeeeee!CCM hawatutaki mzeeee!Wametutenga mzeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom