Nape awapasua vichwa CHADEMA

kama wewe mjanja
pambanua hoja yako
siyo unakurup uka tu
kama aliyetoka usingizini.
 


Hahahaaaaaaaaa!!! Uwiii!
 
Sred Nyingine ni kupotezeana Muda tu! .. Ah inauma Mtu kupitisha muda Na macho yako kwenye pumba..

Mateja hadi JF.. Ah
 
Ni kweli kabisa maneno yako......


kama huna hoja ya msingi nyamaza,sio kukurupuka sasa hiyo picha hapo juu inauhusiano gani na mada yako?au ndio unatuonesha mikutano ya ccm na wanafunzi wa shule za msingi.jipange ndio uje upya.
 
unaweza kutuambia kati ya hao watoto nape yuko wapi?
 

Hivi kumbe Maige nae ni CDM?
 

Asante kwa ushauri wa bure usio na maana!! wewe kama huna cha kuandika kaa kimya. hata Nape mwenyewe unayejaribu kumtetea anependa kujibu some posts, and that is healthy engagement! of course we need to keep them objective and focused on issues rather than personalising them and being abusive.
 
wewe usiye na chama au wewe kibaraka,umekosa cha kusema,Nape anamuumiza MAIGE.cdm haiwezi kuhangaika na mpuuzi kama nape.ni kondoo wa kafara kama hukujua.
 
Mukama, Maige, Sitta, Rostam, EL na wengineo wanaosema ni gamba linalotakiwa kung'oka CCM wamekuwa wafuasi wa CDM lini......?????. AKILI ZIKIFUNIKWA NA MAGAMBA BWANA, HATA TOFAUTI KATI YA MCHANA NA GIZA HAUJUI..!!!

 
Wa Nauye anashangilia matunda ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika kati ya watoto wasio na nguo wala viatu, hivyo kufurahishwa na kitendo cha watoto hao kugombea senti anayowachonganisha nayo.
 
Hivi na wewe mtoa mada tukuite ni Great Thinker? Si bora ungemshauri Nape kufanya mambo ya
maana kama kwenda kuona wagonjwa kama Mzee Mwandosya atapata baraka,kuliko anavyendelea
kujimaliza na makelele yaso na tija"
 
We kama si mwandishi wa magazeti ua Uhuru na Mzalendo, basi utakuwa msomaji mzuri wa hayo magazeti ndo maana hata fikra zako zishakuwa hivyo!!!!
 
huna chama wakati unaonekana wazi ww ni gamba! yaani waumize kichwa kwa lipi hasa analolifanya.
 


Unatunga hadithi mbovu, lakn inakusisimua mwenyewe na unaiamini kuwa ni kisa cha kweli!!

Hizo ni dalili za kwenda Mirembe......!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…