Shagiguku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 409
- 138
Mh: Nape Nnauye ameunguruma leo jioni hapa mkoani Njombe katika mkutano wake wa hadhara uliohudhuriwa na ma-mia kwa maelfu ya wananchi na kuzungumzia juu ya masuala ya uundaji wa tume mbalimbali katika nchi yetu ambazo zimeleta tija kwa maendeleo ya taifa.
Katika mkutano huo mh: Nnauye amewakemea watu wanaobeza jitihada za serikali katika kushughulikia mambo mbalimbali ambayo ni kero kwa wananchi.
Hii ni taarifa kwa ufupi kwa wale ambao hawakuwepo ktk mkutano huo.