Nape namwona ITV akitoa shule,
1. Swala la mafisadi halikuanza jana kupigwa vita, limeanza siku nyingi akatoa mfano wa Vita ya wahujumu uchumi wakati wa Azimio la Arusha.
2.bunge la mfumo wa vama vingi limekuwa la ki vyama zaidi kuliko kuwa la kutetea wananchi kama ambavyo imekuwa wakati wa chama kimoja.
3. Vyama vimeshindwa kujitofautisha kiitikadi wala kisera

Inahitaji ugumu wa moyo usio wa kawaida kuitetea ccm kama anavyofanya nape. Hiki chama kimefumbwa macho na masikio ili kisione na kisisikie ili unabii utimie na mapinduzi ya nchi yatokee.
Mjaka,NAPE UNAWAJUA LOWASA,CHENGE NA ROSTAM YOUR DAYS ARE NUMBERED,KWELI MKWELRE KAKULENGESHA:A S-baby:
Blabla za kisiasa ni zile zinazofanywa na wabunge wa cdm bungeni, wanapiga kelele weeeh, huku wakijua kelele zao sawa na machozi ya samaki yanayoishia kusombwa na maji!Mkuu anayoongea Nape ni common knowledge na ni lay man's knowledge, sidhani kama tunaweza kuita shule. Sijui kama kweli anajua maana ya sera au itikadi na jinsi inavyo-fit kwenye mazingira ya sasa ya kiuchumi, na sijui kama anajua kuwa sera kuu ya itikadi kuu inatakiwa kuwa maendeleo ya Tanzania, na sio blah blah za kisiasa na uyeyushaji kama tunavyouona sasa kwa CCM na vyama vingine.
Kwanza ni ujasiri baada ya muda mrefu wa kujaribu kuudanganya umma kwamba vita hii ilianzhswa na CDM, kukiri hadharani kwamba HAPANA ilianza siku nyingi kabla hata ya misingi ya CDM haijafikiriwa ni ujasiri mkubwa! HONGERA ZIPUWAWA!Hata uzinzi ulianza siku nyingi lakini watumishi wa Mungu bado wanakemea hadi leo
Bongolander,Mkuu anayoongea Nape ni common knowledge na ni lay man's knowledge, sidhani kama tunaweza kuita shule. Sijui kama kweli anajua maana ya sera au itikadi na jinsi inavyo-fit kwenye mazingira ya sasa ya kiuchumi, na sijui kama anajua kuwa sera kuu ya itikadi kuu inatakiwa kuwa maendeleo ya Tanzania, na sio blah blah za kisiasa na uyeyushaji kama tunavyouona sasa kwa CCM na vyama vingine.