SAUTI YA BOMBA
Member
- Jul 6, 2012
- 13
- 0
Jamani huyo jamaa ni Gamba gumu,ila muda si mrefu atalainika.Kama anabisha muulize Msabaha,Karamagi na Kingunge.
Wa ccm je? wao wanayoongea yanakubaliwa?Blabla za kisiasa ni zile zinazofanywa na wabunge wa cdm bungeni, wanapiga kelele weeeh, huku wakijua kelele zao sawa na machozi ya samaki yanayoishia kusombwa na maji!
Nape namwona ITV akitoa shule,
1. Swala la mafisadi halikuanza jana kupigwa vita, limeanza siku nyingi akatoa mfano wa Vita ya wahujumu uchumi wakati wa Azimio la Arusha.
2.bunge la mfumo wa vama vingi limekuwa la ki vyama zaidi kuliko kuwa la kutetea wananchi kama ambavyo imekuwa wakati wa chama kimoja.
3. Vyama vimeshindwa kujitofautisha kiitikadi wala kisera
Hata uzinzi ulianza siku nyingi lakini watumishi wa Mungu bado wanakemea hadi leo