Nape atoa shule malumbano ya hoja ITV

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
Nape namwona ITV akitoa shule,
1. Swala la mafisadi halikuanza jana kupigwa vita, limeanza siku nyingi akatoa mfano wa Vita ya wahujumu uchumi wakati wa Azimio la Arusha.
2.bunge la mfumo wa vama vingi limekuwa la ki vyama zaidi kuliko kuwa la kutetea wananchi kama ambavyo imekuwa wakati wa chama kimoja.
3. Vyama vimeshindwa kujitofautisha kiitikadi wala kisera
 
The issue sio ufisadi ulianza lini, ila wamefanya nini kuutokomeza? Au Nape anataka watu wakae kimya kwa sababu ufisadi uko kwa miaka mingi? What a moron?
 
Hata uzinzi ulianza siku nyingi lakini watumishi wa Mungu bado wanakemea hadi leo
 
Acha wafu wazike wafu wenzao.. Hata iweje hawezi na hana ubavu wa kuisema CCM.. Alisha pewa onyo afunge bakuli lake ba EL.. Na akafunga tena kwa SOLEX.. Na funguo zimetupwa Baharini.. KIMYA!!!!! hakuga cha fisadi wala vua GAMBA.. Nape ni GAMBA mbichi !!
 
Nape namwona ITV akitoa shule,
1. Swala la mafisadi halikuanza jana kupigwa vita, limeanza siku nyingi akatoa mfano wa Vita ya wahujumu uchumi wakati wa Azimio la Arusha.
2.bunge la mfumo wa vama vingi limekuwa la ki vyama zaidi kuliko kuwa la kutetea wananchi kama ambavyo imekuwa wakati wa chama kimoja.
3. Vyama vimeshindwa kujitofautisha kiitikadi wala kisera

Honey K,

1. Kipindi kile Sokoine alikuwa hana woga, wala huruma, dhidi "wahujumu uchumi." zama hizi tumesikia wezi wa EPA wakiombwa na kubembelezwa na JK warudishe fedha walizoiba.

2.CCM ndiyo wamekuwa wakiendekeza maslahi ya chama badala ya kutetea wananchi. Wananchi wamelibaini hilo na ndiyo maana wameanza kuipinga CCM waziwazi.

3.Siyo lazima vyama vijitofautishe kiitikadi. Marekani kuna democrats na republican lakini wote wanafuta itikadi ya kibepari.

4.Kwa upande wa sera tofauti zipo. Kwa kweli ni aibu kwa katibu wa uenezi wa ccm kudai chama chake kina sera zinazofanana na zile za CDM.
 
Nape namwona ITV akitoa shule,
1. Swala la mafisadi halikuanza jana kupigwa vita, limeanza siku nyingi akatoa mfano wa Vita ya wahujumu uchumi wakati wa Azimio la Arusha.
2.bunge la mfumo wa vama vingi limekuwa la ki vyama zaidi kuliko kuwa la kutetea wananchi kama ambavyo imekuwa wakati wa chama kimoja.
3. Vyama vimeshindwa kujitofautisha kiitikadi wala kisera

Mkuu anayoongea Nape ni common knowledge na ni lay man's knowledge, sidhani kama tunaweza kuita shule. Sijui kama kweli anajua maana ya sera au itikadi na jinsi inavyo-fit kwenye mazingira ya sasa ya kiuchumi, na sijui kama anajua kuwa sera kuu ya itikadi kuu inatakiwa kuwa maendeleo ya Tanzania, na sio blah blah za kisiasa na uyeyushaji kama tunavyouona sasa kwa CCM na vyama vingine.
 
NAPE UNAWAJUA LOWASA,CHENGE NA ROSTAM YOUR DAYS ARE NUMBERED,KWELI MKWELRE KAKULENGESHA:A S-baby:
 
Nape namwona ITV akitoa shule,
1. Swala la mafisadi halikuanza jana kupigwa vita, limeanza siku nyingi akatoa mfano wa Vita ya wahujumu uchumi wakati wa Azimio la Arusha.
2.bunge la mfumo wa vama vingi limekuwa la ki vyama zaidi kuliko kuwa la kutetea wananchi kama ambavyo imekuwa wakati wa chama kimoja.
3. Vyama vimeshindwa kujitofautisha kiitikadi wala kisera

Come on Nepi: it is tied just go to sleep Ok!
 
Inahitaji ugumu wa moyo usio wa kawaida kuitetea ccm kama anavyofanya nape. Hiki chama kimefumbwa macho na masikio ili kisione na kisisikie ili unabii utimie na mapinduzi ya nchi yatokee.
 
Ndashene,
Umesema ukweli mno, mpaka umepitiliza sasa......
 
Mkuu anayoongea Nape ni common knowledge na ni lay man's knowledge, sidhani kama tunaweza kuita shule. Sijui kama kweli anajua maana ya sera au itikadi na jinsi inavyo-fit kwenye mazingira ya sasa ya kiuchumi, na sijui kama anajua kuwa sera kuu ya itikadi kuu inatakiwa kuwa maendeleo ya Tanzania, na sio blah blah za kisiasa na uyeyushaji kama tunavyouona sasa kwa CCM na vyama vingine.
Blabla za kisiasa ni zile zinazofanywa na wabunge wa cdm bungeni, wanapiga kelele weeeh, huku wakijua kelele zao sawa na machozi ya samaki yanayoishia kusombwa na maji!
 
Hata uzinzi ulianza siku nyingi lakini watumishi wa Mungu bado wanakemea hadi leo
Kwanza ni ujasiri baada ya muda mrefu wa kujaribu kuudanganya umma kwamba vita hii ilianzhswa na CDM, kukiri hadharani kwamba HAPANA ilianza siku nyingi kabla hata ya misingi ya CDM haijafikiriwa ni ujasiri mkubwa! HONGERA ZIPUWAWA!
 
Mkuu anayoongea Nape ni common knowledge na ni lay man's knowledge, sidhani kama tunaweza kuita shule. Sijui kama kweli anajua maana ya sera au itikadi na jinsi inavyo-fit kwenye mazingira ya sasa ya kiuchumi, na sijui kama anajua kuwa sera kuu ya itikadi kuu inatakiwa kuwa maendeleo ya Tanzania, na sio blah blah za kisiasa na uyeyushaji kama tunavyouona sasa kwa CCM na vyama vingine.
Bongolander,
Usisahau huyu ndio Katbu wao wa itikadi na uenezi, ikiwemo sera zao!
 
Lakini wakuu,
Jambo baya sana linaloinyemelea demokrasia nchini ni kifo kibaya cha CHADEMA. Nasema kifo kibaya kwasababu kitavunja moyo sana wanaharakati wengine wanaona yalianza kuonekana matumaini lakini sasa kama na hawa nao wameishia njiani basi HAIWEZEKANI, itavuruga sana demokrasia nchini. NANI ANAIKOA DEMOKRASIA NCHINI?!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom