Nape atakimbilia wapi?

Nape atakimbilia wapi?

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
nape.jpg

"Zamani sisi ndani ya chama ukisikia Msemaji wa Chama akikutana na waandishi wa habari atakachoanza kusema ni hivi..... " Kikao flani (CC, NEC etc) kilichoketi tarehe chini ya Mwenyekiti wake flani kimeazimia yafuatayo.........."

Huu ndo utaratibu sasa anapotokea mtu na kutamka yake basi hayo yanakuwa yake si ya Chama. Ndani ya CCM huo utaratibu haupo hata kidogo....

Na nashangaa Viongozi nao wamekaa kimya huku ni kukiua Chama. Watafurahia leo kashambuliwa flani ila hawawezi jua kwamba kesho yaweza kuwa ni wao..... Mambo kama haya lazma yakemewe....."

BY : Abeid Amani Karume
 
Siku za mwisho za uhai wa chama
Lazima waanze kuongea kila mmoja na lugha yake kama wale wajenzi wa mima babeli
 
Ukiona msemaji wa chama anakiuka misingi na taratibu za chama (kama misingi ipo na taratibu zipo) kusema lolote kwa vyovyote bila kukemewa,ujue nyuma yake kuna kundi Fulani au mtu fulani mwenye nguvu katika chama.
Hii ni hatari kwa ukuaji na ustawi wa chama,na haraka hupoteza mvuto wa chama kwa wanachama na washabiki wake. Hali hiyo pia inaongeza sababu katika mambo yanayoweza kuua chama
 
Ina maana kuwa CCM mmechoka kiasi hiki?mmekuwa kama simba kibogoyo asiyeweza kutafuna mnofu?.

Mnakosaje mahali pa kumpeleka Nape ambaye mnamuona kuwa ana kwenda tofauti na maadili ya chama chenu wakati hata kibaka ana jela ya kumpeleka.
 
nape anaweza kukimbilia popote kwani anahaki ya kuishi sehemu yoyote Tanzania,ni haki yake kikatiba labda akinyang'anywa Uraia Wa tanzania itabid aende hata msumbiji.
 
View attachment 240585

"Zamani sisi ndani ya chama ukisikia Msemaji wa Chama akikutana na waandishi wa habari atakachoanza kusema ni hivi..... " Kikao flani (CC, NEC etc) kilichoketi tarehe chini ya Mwenyekiti wake flani kimeazimia yafuatayo.........."

Huu ndo utaratibu sasa anapotokea mtu na kutamka yake basi hayo yanakuwa yake si ya Chama. Ndani ya CCM huo utaratibu haupo hata kidogo....

Na nashangaa Viongozi nao wamekaa kimya huku ni kukiua Chama. Watafurahia leo kashambuliwa flani ila hawawezi jua kwamba kesho yaweza kuwa ni wao..... Mambo kama haya lazma yakemewe....."

BY : Abeid Amani Karume
CCM ya sasa hasa awamu hii ya nne imekosa heshima na utulivu na hii ni kwa sababu ya viongozi wake kuwa bigeugeu na kutokuwa na msimamo huku wakijitengenezea maslahi viongozi kulinda uvundo Nape ni janga
 
Kama kwel haya ni maneno ya rais mstaafu wa Zanzibar,basi ccm iko pabaya.
 
BY : Abeid Amani Karume
[/COLOR][/SIZE][/QUOTE]

Huyu mzee si aliuwawa miaka ya sabini ivi, labda mzimu wake?!
 
View attachment 240585

"Zamani sisi ndani ya chama ukisikia Msemaji wa Chama akikutana na waandishi wa habari atakachoanza kusema ni hivi..... " Kikao flani (CC, NEC etc) kilichoketi tarehe chini ya Mwenyekiti wake flani kimeazimia yafuatayo.........."

Huu ndo utaratibu sasa anapotokea mtu na kutamka yake basi hayo yanakuwa yake si ya Chama. Ndani ya CCM huo utaratibu haupo hata kidogo....

Na nashangaa Viongozi nao wamekaa kimya huku ni kukiua Chama. Watafurahia leo kashambuliwa flani ila hawawezi jua kwamba kesho yaweza kuwa ni wao..... Mambo kama haya lazma yakemewe....."

BY : Abeid Amani Karume

Haya ndiyo mafanikio ya mwenyekiti wa CCM yeye alitaka awe na watu kama hawa ili wavurugane wenyewe kwa wenyewe bila kugusa maslahi yake. Hili kwa kweli amefanikiwa na mwisho wa siku lazima hesabu hizi zitamuendea Nape vibaya.

Kila hatua wanayochukuwa CCM sasa hivyo inafeli, kwa lugha nyingine mnara wa babeli unakaribia kuanguka.
 
Back
Top Bottom