akilimtindi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2008
- 421
- 83
namsubiri humu kwa hamu sana.........najua hakawiii kukana ID yake
atajuta kuikacha CCJ.
Ngoja nichukue popcorn zangu,ndio kwaanza movie linaanza!
Keshazidiwa nguvu na Lowassa mbele za macho ya kila mtanzania.Kurudi itasaidia nini?
Ni bora arudi ccj.
kwani wamesha maliza kumtumia...
Huyu Nape si ndiyo yule msema mbovu kama vile anatapikaga? Leo na angesema na angekumbuka CCJ aliyeikana kwa lile domo lake. MJINGA KAMA (RC) MMOJA MKOA FULANI,HAWANA TOFAUTI HATA KIDOGO.
Nape hebu vunja ukimya tupate moja kwa moja kutoka kwako.
Ngoja nichukue popcorn zangu,ndio kwaanza movie linaanza!