Nape asema Edward Siyo msafi

Kwani kuna mtu ambaye mpaka leo anaamini maneno ya NAPE? .. kila siku Kinana anakazi maalum ya kukanusha maneno ya mtoto wa kiume mwenye chuchu ...
 
NAPE, KUNA HIKI KIPANDE CHA WAMAREKANI WALICHOONGEA NA DR. SALIM AHMED SALIM BAADA YA UCHAGUZI WA MWAKA 2005 AMBAPO HOJA YA UBAGUZI ILLBULIWA NA KAMBI KIKWETE DHIDI YA SALIM. HAPA KUNA MAJINA KAMA DR SALIM, MACELECA, MKAPA NA KIKWETE. NAAMINI HAKUNA KILICHOBADILIKA CCM HATA LEO HIVI. KI UHALISIA, HALI IMEKUWA MBAYA ZAIDI. ITOSHE KURUDIA MANENO YA MKAPA ALIPOSEMA "NOBODY IS COMPLETELY CLEAN". HATA WEWE NAPE SIO CLEAN, KWANZA ULISHA HAMIA CCJ MIAKA ILEEE. NAKUMBUKA JAJI WARIOBA ALISHAWAULIZA WABUNGE KWAMBA AMBAYE ANASEMA YUKO CLEAN KABISA ANYOOSHE MKONO....KIMYA. KWA HIYO INGAWAJE RUSHWA SIO YA KUJIVUNIA, UKWELI NI KWAMBA HALI NI MBAYA CCM, VYAMA VYA UPINZANI, SERIKALINI NA VYOMBO VYAKE VYOTE KABISA, MISIKITINI NA MAKANISANI NA HIYOM NDIO HALI HALISI. KWA HIYO NAPE USIONGOZWE NA HISIA ZA CHUKI DHIDI YA MGOMBEA MMOJA TU (LOWASSA) NA NAAMINI KUNA MTU AU WATU WAMEKUTUMA. SOMA HAYA YA WIKILEAKS.......

5. (C) Salim Ahmed Salim also told us (USA) that in the weeks leading up to the party convention, the CCM leadership had repeatedly said that strong anti-corruption credentials would be a requirement to obtain the party's nomination. During the initial Central Committee meeting however, Mkapa had downplayed corruption as a factor, saying at one point that "nobody's completely clean." When party Vice-chairman John Malacela was unexpectedly eliminated in the first round by the Central Committee, Mkapa could have sent a strong message by using Malacela's dubious record on corruption as a justification for his elimination; instead, Mkapa simply said that Malacela was "too old" and "not electable." According to Salim, this was a clear signal that corruption would not be a determining factor in selection of the nominee, and took the wind out of the sails of the CCM's anti-corruption contingent. ----------------------------------------- Kikwete: Lots of Money, Lots of Promises -

PENGINE WAKATI ULE ULIKUWA MDOGO KWA UMRI SASA UMEKUA JIFUNZE!! CHEZA KWA STEP MWAMANGU!!!
 


Mimi nakukumbusha tu broda, ile wenyewe wasomi mnaita CYBERCRIME ACT 2015 ilishasainiwa , ​wewe ni ndugu yangu, sitafurahi hata kidogo akili ndogo wakikupoteza!
 
ninapata hofu na usalama wa meno na uso wa nape km ataendelea kumfuata fuata mamvi
 
almost wote ni wachafu, ila kwani amshambulie Lowasa peke yake tena ni mara zote? kuna kitu hapa nyuma ya pazia!
 
almost wote ni wachafu, ila kwanini amshambulie Lowasa peke yake tena ni mara zote? kuna kitu hapa nyuma ya pazia!
 
Amesema kweli ni mchafu unajifanya ukumbuki? Hata baba Wa taifa alisema EL ni mchafu mwizi mkubwa
 
Nimesikia baadhi ya wasomi wanawakosoa wale 'wanaowachafua' wenzao.
Kwani huu si mwendelezo wa sera za kulindana hata kama mtu ni mchafu asisemwe?
Kama sio sasa atasemwa muda gani?
Au chama vyama vinataka kuwaletea tena wananchi watu wachafu ili wapate kuchaguliwa na hatimaye kuongoza nchi?
Nadhani ni wakati muafaka kuanika mabaya na mazuri yote ya watia nia ili uma uwajue na kisha kuwatendea haki muda ukifika.
Isitoshe ni vyema mamlaka za uteuzi zikayafanyia kazi yote yanayozungumzwa ili watuletee watu safi.
 
anafanya kazi yake acha aseme maana anajua anachokifanya,kwani lowasa ni msafi?
 

watu wengi wanafiki kwani Nape nda wakwanza kumsema LOWASA kuwa ni mchafu,mbona hata SLAA alimwambia ARUMERU KUWA lowasa ni fisadi na akamtagaza kwenye list yake jagwani,
 
list ambayo imemtaja waziwazi kuwa lowasa ni mwizi na fisadi
1,nyerere
2,dr slaa,arumeru
3,magongoro
4,makonda
5,Nape
hawa wote hawakushambuliwa lakini leo nape anashambuliwa kwa matusi kwenye coment zenu sio sawa.anajua anachokifanya
 
almost wote ni wachafu, ila kwanini amshambulie Lowasa peke yake tena ni mara zote? kuna kitu hapa nyuma ya pazia!

kamuulize slaa na huyu alimshambulia tena mchana kweupe alimtaja kwenye list ya mafisadi jamgwani mamia kwa maelf wamejaa,nape kamuonea staa kaenda kwenye vyombo vya habari
 
Nape ni sawa na mbwa kibogoyo. Hang'ati. Amejaa unafiki mtupu. Hana uwezo wa kupambana na rais mtarajiwa wa Tanzania, Hon Edward Lowassa. 2015 ataumbuka sana huyo Nape.

na hawa ni mbwa vibogoyo waliomtaja waziwzi lowasa kuwa ni mwizi na sio msafi
1,nyerere
2 Slaa
3,makongoro
4,marando
5,makonda
6,nape
na hawa ni mbwa?
 
almost wote ni wachafu, ila kwani amshambulie Lowasa peke yake tena ni mara zote? kuna kitu hapa nyuma ya pazia!

Nimekuwa nikijiuliza hilo swali kila siku,kwa nini kila mara anamzungumzia Lowasa tu kuwa ndie fisadi?ina maana hao wengine majangili wa meno ya tembo wamemziba mdomo asiwaseme? asikazane kumnyooshea mkono mwenzie wakati vidole vingine vinamgeukia na yeye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…