Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,221
- 128,982
Si niliandika hivi. NB maana yake zingatia!.Mkuu, Pasco, sijakuelewa. Kutaja jina kwa kirefu, matumizi ya DNA! Uhusiano ukoje hapo mkuu? Au kuna ukungu, fafanua tafadhali.
NB. Naombeni msiniulize kitu chochote kuhusu posti yangu hii!, I'm just thinking loud!.
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.

Nape amekosa uhalali kwenda kwenye vyombo vya habari na kuongelea rushwa na matumizi mengine mabaya ya fedha ndani ya ccm. Anazidi kuanika uozo ndani ya chama chake kuwa hakiko makini kuwashughulikia mafisadi kuendelea kujenga mitandao ya urais ndani ya chama.
Cha kujiuliza, kama Nape aligundua kuwa kuna hako ka mchezo ka kupanga wajumbe wa cc na halmashauri kuu yeye kwa nafasi yake na wengine wachukia maovu ndani ya ccm walifanya nini kabla ya yeye kuyasema hayo kupitia makutano show?!
Kama alikaa kimya na hakuweza kusema kitu bora angeendelea kukaa kimya kuliko kuanika udhaifu na upumbavu wao. Mtoto wa baba wa taifa kang'olewa kwa milioni 300 za rushwa, chama kimefanya nini baada ya kugundua kuwa Makongoro kachezewa rafu?! Usanii mtupu.
Akiwa kama "mmoja wa watendaji wa chama" hana haki ya kuongelea hadharani maovu ya baadhi ya viongoz wa chama kama vile yeye ni chama kingine. Anatakiwa achukue hatua kuhakikisha hao wasio wasafi wanaondolewa chaman kama hawawez basi yeye atoke kwe nafas za utendaji kwa kushindwa kwake kuwashugulikia.Hadithi za vilinge vya kahawa; iweje Nape akose uhalali wa kuongelea rushwa? Nape akiwa kama mmoja wa watendaji wa chama ana haki zote za kuongelea maovu; si kweli kama wajumbe wa CC ni wala rushwa; wapo wachache ambao wanajulikana wazi kwa matendo yao ya rushwa; hebu tupe uthibitisho wa hizo mil.300 zilivyotumika kuomng`oa Makongoro.
Chama
Gongo la mboto DSM
Akiwa kama "mmoja wa watendaji wa chama" hana haki ya kuongelea hadharani maovu ya baadhi ya viongoz wa chama kama vile yeye ni chama kingine. Anatakiwa achukue hatua kuhakikisha hao wasio wasafi wanaondolewa chaman kama hawawez basi yeye atoke kwe nafas za utendaji kwa kushindwa kwake kuwashugulikia.
Mwanao ana tabia mbaya baba unaenda kulalama kwa jiran?huez kua mzika upstairs.
Hadithi za vilinge vya kahawa; iweje Nape akose uhalali wa kuongelea rushwa? Nape akiwa kama mmoja wa watendaji wa chama ana haki zote za kuongelea maovu; si kweli kama wajumbe wa CC ni wala rushwa; wapo wachache ambao wanajulikana wazi kwa matendo yao ya rushwa; hebu tupe uthibitisho wa hizo mil.300 zilivyotumika kuomng`oa Makongoro.
Chadema
Gongo la mboto DSM
Angalia hapo kwenye bold, kama hivyo ndivyo ccm isiingie kabisa katika kinyang'anyiro cha urais maana chama kinaongelewa na watu kwamba kinanuka rushwa..Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
Kwa pointi ya nape kuwa siyo lazima kuwe na ushahidi badi watu wakihisi na kuongea inadhihirisha uchafu wake bac anakiri chama chao kimejaa mafisadi wengi wakiwemo kina chenge,lowasa et al bt hawachukuliwi hatua.wao kama chama wanafahamu hivyo lakini hakuna uchukuaji wa maamuz magumu kwan ni kanuni zao kulea mafisadi na wezi.watasema yote mpaka tufike 2015.