Nape asema Edward Siyo msafi

Naamini kipo ambacho Ngd.Nape anakiamini na pengine kukisimamia,lakini nafasi ya kazi yake haimpi yeye kutoa mawazo yake binafsi kwa kuwa analotakiwa kulitolea maamuzi ni hasa maamuzi ya vikao.
naamini kuna siku tutamwelewa vinginevyo.
 
Hii inadhihirisha kuwa nape anamuhofia sana lowasa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
nape naona unamchokoza tena white hair. hukumbuki kipindi kile?
 
Eddo akichukua nchi ufisadi wa kiwete, nepi, member, riz moko na wengine wote utakuwa wazi
 
Ndugu watanzania leo twashuhudia, yaliyoandikwa na mwenyezimungu, mwenyezimunguuuu, baba wa taifa na kipenzi cha watu sasa ametutoka............. nashindwa kumalizia wimbo machozi yamefunika uso.
 
Hata kama CCM ina wazee lakini ni vema Kijana Nape Moses Nnauye anasimamia anachokiamini. Piga ua huo ndiyo msimamo wake. Napenda hiyo. Siyo watu wanafiki kwa ajilli ya cheoau njaa. Big Up.
 
Kutokana na hizo post chache tuu nilizosoma najenga nadharia ya CDM na lowassa CCM na Zito kabwe.

Great thinker,lakini kuna mawili aidha uko sawa au kuna watu wamenunuliwa humu jf...binadamu hujifunza kila leo, Nape amejifunza kutoka vijana wa cdm E. Wasira nk..cdm tumuunge mkono, ni vizuri ccm iingie 2015 na mpasuko.
 
Hapa inaonyesha Nape naye ameshaingia kwenye siasa za makundi kwani kama ni kujaza wapambe CC na NEC karibu kila anayetajwa kuutaka urais thru CCM anafanya hivyo tena kwa njia zilezile anazotuhumiwa nazo Lowassa, sema Lowassa ndie alieweza kupata wafuasi wengi zaidi hadi sasa,kwa hiyo tatizo hapa ni mfumo na sio mtu kama CCM watabariki mawazo ya Nape bac matokeo yake ni kumega chama na si kukijenga.
 
Mwache kijana endelee kupuliza vuvuzela!, kwenye uchaguzi wa ndani wa CCM mwezi November, mtamshuhudia akionja joto ya jiwe!. Hapa jf atapaona kama kituo cha polisi!.
P.
 
Kutokana na hizo post chache tuu nilizosoma najenga nadharia ya CDM na lowassa CCM na Zito kabwe.

Great thinker,lakini kuna mawili aidha uko sawa au kuna watu wamenunuliwa humu jf...binadamu hujifunza kila leo, Nape amejifunza kutoka vijana wa cdm E. Wasira nk..cdm tumuunge mkono, ni vizuri ccm iingie 2015 na mpasuko.
 

nimesikiliza pia makutano, haikua as straight as this, Yes katoa mfano wa lowasa mwaka 2005 lakini not explicitly saying EL si msafi, lazima itakuwa youtube by now, hebu sikikilizeni wenyewe!
 
Hata kama CCM ina wazee lakini ni vema Kijana Nape Moses Nnauye anasimamia anachokiamini. Piga ua huo ndiyo msimamo wake. Napenda hiyo. Siyo watu wanafiki kwa ajilli ya cheoau njaa. Big Up.
Mkuu asungwilemwaifunga, nimependa jinsi ulivyolitaja jina la kijana kwa kirefu, tunashukuru sana kwa matumizi ya DNA kuchelewa kufika humu nchini kwetu, uchelewaji huo umesaidia wengi!. NB. Naombeni msiniulize kitu chochote kuhusu posti yangu hii!, I'm just thinking loud!.
 
Mkuu, Pasco, sijakuelewa. Kutaja jina kwa kirefu, matumizi ya DNA! Uhusiano ukoje hapo mkuu? Au kuna ukungu, fafanua tafadhali.
 

Nilishawah kulieleza hili lakini kuna watu walipinga..
 
Nape hajui kazi yake
Fitina mwiko, acha basi fitina, so far, he is the best that CCM has ever had, ukimlinganisha na wengine wote waliowahi kushika position hiyo!, tatizo lake ni dogo tuu, "he talks too much!, sometimes senseless sometimes nonsense but he just talk!.
P.
 
Pamoja na uchafu EL anaousema wa Nape, mbona NEC na CC vilipitisha jina lake akapigiwe kura huko Monduli? Nape action speaks louder than words.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…