Muds rudisha post ya waraka wa kamati kuu ya chadema uliovuja utakuwa ni waraka wa kweli kwa mauaji ya lwakatare iramba.kufa chadema
Nitoe pole tena kwa wale waliokumbwa maafa huko Singida.
Nape anasema CHADEMA ni chama kigaidi, je nasema serikali ya CCM imeruhusu ugaidi? Kama yeye Nape anajua kuna kikundi au cham cha kigaidi nchini na ushahidi anao kwa nini asipeleke polisi? Au na yeye ni mmoja wa hao magaidi na ndio maana hatoi taarifa police?
Pia ningeta kumuuliza Nape haya:
1. Wakati wa uchaguzi Igunga kulikuwa na taarifa za vijana wa Green Guard (CCM) waliokuwa wanapewa mafunzo jimboni mwa Mwigulu Nchemba ili walete fujo wakati wa campaign huko Igunga, wale vijana wako wapi?
2. Kwenye uchaguzi huo huo wa Igunga, mfuasi wa CHADEMA alitekwa, akateswa na kuuliwa kinyama, Nape alitoa kauli gani?
3. Arumeru ameuliwa mwanaCHADEMA, Nape ametoa kauli gani?
4. Week mbili zilizopita, Dr Ulimboka alitekwa, akateswa usiku mzima na kutupwa kwenye msitu wa Mabwepande. Tofauti na wengine waliokuta na dhahama kama hiyo, Dr Ulimboka hakufa, na ameweza kutaja baadhi ya watu walioshiri kumteka. Nape, tunayembiwa anaendesha siasa za kisasa, hadi leo hii hajatoa tamko juu ya mkasa wa Dr Ulimboka!
Lakini hii ya Singida kwa sababu anazozijua yeye Nape, ndani ya masaa 24 tayari ameshatoa tamko na zaidi ya hapo ametaja wahusika kuwa ni CHADEMA! Nape anaweza kusema marehemu alikutwa na mkasa huo akiwa wapi? Ni kweli alikuwa kwenye mkutano wa CHADEMA? ziko taarifa aliuliwa kwenye nyumba ya mtu, je Nape anajua hilo?
Mwisho, maombi bado yanaendelea Jangwani na wakati huo huo harakati za kweli, kweli tupu na sio propaganda zitaendelea. Tunakwenda kumlilia mungu ili aingilie kati kama alivyofanya kwa Dr Ulimboka. Kwa imani kubwa, tutaomba mungu atoe haki. Kama anaona Nape,Nchemba, na wengine wa aina yao, wanayofanya ni sawa basi na awabiriki, lakini kama anaona kuna dhulma, uwongo na mungu ajitokeze kuokoa wateswa wake.
Kuna wakati kabla ya kuandika ni lazima watu muwe mnafikiri sawasawa.,wakati mwingine wakwe zenu pia wanasoma hizi post wasije wakawanyang'anya watoto wao..,kwa ujinga huu..,umeanza kwa pole na salamu za rambirambi nikapata matumaini kuwa naanza kusoma comment yenye akili ila kilichokuja kutokea baada ya kuendelea kusoma nimestaajabu. Vipi mtu ataje yale yasiyojulikana wakati yaliyo wazi yapo mbele ya macho yake..,tukio la kutolewa vijana singida kwenda igunga ndo kwanza nimelisikia hapa leo, dalili zote katika story hiyo ni kuwa jambo hili si kweli wala la kuuwawa kwa kada wa CCM ila najua kuwa CHADEMA walimvua nguo DC wa IGUNGA na kisha kumwagia tindikali kada wa Chama cha Mapinduzi na mwisho waliamua kumuua mwanachama mwingine wa CCM.,imekuwa ni kawaida ya CHADEMA kuua makada na wanachama wa CCM.
hakika maneno haya ni kweli na NAPE hakuwa amesema uongo kamwe...ni kuthibtisha kuwa Lwakatare anatumiwa muda mrefu katika kuangamiza watu wema wa Taifa hili.Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.
Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.
NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube
Yeyote akisoma atakupata kuwa wewe ndiye kilaza mkuu!! Imekuwa ni kawaida! hivi siasa imetufanya tuwe na akili za hayawani?Kuna wakati kabla ya kuandika ni lazima watu muwe mnafikiri sawasawa.,wakati mwingine wakwe zenu pia wanasoma hizi post wasije wakawanyang'anya watoto wao..,kwa ujinga huu..,umeanza kwa pole na salamu za rambirambi nikapata matumaini kuwa naanza kusoma comment yenye akili ila kilichokuja kutokea baada ya kuendelea kusoma nimestaajabu. Vipi mtu ataje yale yasiyojulikana wakati yaliyo wazi yapo mbele ya macho yake..,tukio la kutolewa vijana singida kwenda igunga ndo kwanza nimelisikia hapa leo, dalili zote katika story hiyo ni kuwa jambo hili si kweli wala la kuuwawa kwa kada wa CCM ila najua kuwa CHADEMA walimvua nguo DC wa IGUNGA na kisha kumwagia tindikali kada wa Chama cha Mapinduzi na mwisho waliamua kumuua mwanachama mwingine wa CCM.,imekuwa ni kawaida ya CHADEMA kuua makada na wanachama wa CCM.
Kwa kile kilichoonekana kuwa ni mfululizo wa matukio ya uvunjifu wa Amani kunakoandamana na umwagaji wa damu ambako siku zote Chadema wamekuwa wakiyafanya, Nape awashukia na kusema kuwa chama chao kina mlegwa wa kigaidi.
matukio hayo ambayo yanazidi kshamiri siku hadi siku, yamekuwa yakifanywa na wafusi wa CHADEMA kwa amri ama maelekezo ya viongozi wao, kwa mfano; katika mkutano wa ndani wa viongozi wa chadema ambao ulipanga mkakati mpya wa kusabotage serikali iliofanyika nyumbani kwa Mbowe mikocheni pamoja na mambo mengine ulimuagiza Rwakatare kuelekea Iramba ili kuandaa kikosi kazi na kuendesha zoezi la kumchafua Mwigulu, Rwakatare alisafiri tarehe 11 kuelekea Singida kusimamia zoezi hilo ambalo tayari limeshasababisha maafa. Ambapo tayari wafuasi wa CCM na MWIGULU wameshapata madhira makubwa kwani Kijana mmoja wa CCM ameuawa na wengine ni majeruhi tangu kuanza kwa zoezi hilo chini ya Rwakatare.
Ifuatayo ni VIDEO ya NAPE akioanisha matukio ya CHADEMA na UGAIDI.
NNAUYE::CHAMA CHA KIGAIDI..................... - YouTube
hakika maneno haya ni kweli na NAPE hakuwa amesema uongo kamwe...ni kuthibtisha kuwa Lwakatare anatumiwa muda mrefu katika kuangamiza watu wema wa Taifa hili.
Kuna wakati kabla ya kuandika ni lazima watu muwe mnafikiri sawasawa.,wakati mwingine wakwe zenu pia wanasoma hizi post wasije wakawanyang'anya watoto wao..,kwa ujinga huu..,umeanza kwa pole na salamu za rambirambi nikapata matumaini kuwa naanza kusoma comment yenye akili ila kilichokuja kutokea baada ya kuendelea kusoma nimestaajabu. Vipi mtu ataje yale yasiyojulikana wakati yaliyo wazi yapo mbele ya macho yake..,tukio la kutolewa vijana singida kwenda igunga ndo kwanza nimelisikia hapa leo, dalili zote katika story hiyo ni kuwa jambo hili si kweli wala la kuuwawa kwa kada wa CCM ila najua kuwa CHADEMA walimvua nguo DC wa IGUNGA na kisha kumwagia tindikali kada wa Chama cha Mapinduzi na mwisho waliamua kumuua mwanachama mwingine wa CCM.,imekuwa ni kawaida ya CHADEMA kuua makada na wanachama wa CCM.
Miongoni mwa maneno katika kitabu maarufu cha TUJISAHIHISHE cha Mwaka 1962 kilichoandikwa na Baba wa Taifa juu ya Ukweli, alisema kuwa ukweli unatabia moja nzuri, na tabia yenyewe ni kuwa haupendi kufichwafichwa, kwa kadiri utakavyouficha ukweli huo basi na wenyewe utajitahidi kujidhihirisha kwa umma unaouficha.
Mara ya kwanza ilipopandishwa habari hii, watu walikuwa mstari wa mbele kuipinga, kuibeza na kuidhihaki ila naamini watu hao leo hii hawana tena guts za kujitokeza mbele ya jamii kupingana na ukweli huu, kuwa CHADEMA ni CHAMA CHA KIGAIDI..,si tu kwa kesi iliyopo katika vyombo vya sheria bali kwa kudhihiri kwa vitendo vyao viovu mbele ya jamii.
Umefika ule wakati ambao Nape amesema kuwa ni wa kusema BASI kwa CHADEMA. Ni wito kwa watanzania kuikataa chadema na kila kilicho chake.
Nachojua mimi Vijana wa CCM walimkata mapanga mbunge wa Ilemela (CHADEMA)...wakamshambulia kwa mapanga na kumuua mwenyekiti CDM USA RIVER...Waliwafukia wachimbaji Geita..!
ni kweli chadema ni chama cha kigaidi na hakifai kabisa