Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,108
- Thread starter
- #41
kila kitabu na zama zake, zama za ccm zimekwisha pita sasa ni zama ya chama kingine.
Kila mahali sasa tumejaa Chadema kwa kuwa kila mwenye kufikiri vema ameshachoshwa na magamba.Facebook wamejaa sana ChaDeMa... Ninamisi status za Nape Facebook akiwa mkuu wa wilaya...
Nape tunakusubiri arusha kwa hamu sana ila uje na yale majibu yetu kwenye post niliyo post jana la sivyo nakuonea huruma.