Mwita 25,Hizo ni propaganda za kishetani.Nimepewa taarifa mkutano ulikuwa wa mafanikio.halafu kupeana matumaini humu yasiokuwepo tunajidhalilisha na CDM kwa njia hii ya majungu haitasalimika.igunga mtatoka patupu na hapo mtajua kelele za humu hazina effect.
Sure mkutano ulikua na mafanikio kimaudhurio ila Nape alivyothubutu kusema CDM ni wahuni umati wote ulilipuka na kumzomea Nape na mkutano ukavunjika kwa sababu wahudhuriaji wote walikua ni CDM nawalikuja kusoma ramani. Nape amekua kichefuchefu kwa jamii yote inayopenda mabadiliko.Hizo ni propaganda za kishetani.Nimepewa taarifa mkutano ulikuwa wa mafanikio.halafu kupeana matumaini humu yasiokuwepo tunajidhalilisha na CDM kwa njia hii ya majungu haitasalimika.igunga mtatoka patupu na hapo mtajua kelele za humu hazina effect.
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.
Hizo ni propaganda za kishetani.Nimepewa taarifa mkutano ulikuwa wa mafanikio.halafu kupeana matumaini humu yasiokuwepo tunajidhalilisha na CDM kwa njia hii ya majungu haitasalimika.igunga mtatoka patupu na hapo mtajua kelele za humu hazina effect.

Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....