Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,108
Vijana wa kazi wa UNGA LTD wangemla kama kisusio...ha ha haaa!
Ukimpigia mbwa miluzi mingi kamwe hawezi kupata uelekeo, bora mbayuwayu akili za kuambiwa huchanganya na zake. Kijana is going to perish in politics very soon. Sasa sijui anatumwa na CCM au Masalia, mi kimsingi bado sijamulewa anakotaka kuelekea. Tutaona!
Mkuu,Mbona mkuu tulikuwa tayari tu kuhudhuria mkutano haswa angefanyia pale NMC sasa alichoogopa ni nini hasa? Vijana walikuwa wamejipanga vema na kwa hamu kuhudhuria kusikiliza na kuijibu hotuba yake papo hapo uwanjani.
Hao ndio CHADEMA, jioneeni wenyewe wanayoyaandika!
Nothing new here!!CDM hawachoki siasa za uchwara. Nape kwani aliwapa ratiba ya ziara yake???? Msipende kudandia yasiyowahusu, malizeni mgogoro na madiwani wenu ambao wameapa hawatathubutu kutekeleza maagizo ya Kamati Kuu yenu kupitia barua ya Dr. Slaa. Aibu imewakuta madiwani wenu kutamka mbele ya wandishi wa habari kuwa KAMWE hawatishiki na barua toka taifani wao wanaangalia maslahi ya wapiga kura wao.
Nape, NApe? Hamna kazi ya kufanya? Bangi zenu zimewasababishia mfikiri kwa kamasi badala ya ubongo, na atakuja arusha sasa tuone kati CCM na hiyo NGO nani mwenye nchi. Uwendawazimu huu umenichefua sana. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumkamia mtanzania mwenzake hata hujajua anakuja kuongea nini
hawa jamaa wanaitwa 'kamata mwizi meeeen'polisi
Mkuu,
Eneo hilo ni [WCC]West Coast Camp, na mara zote wanamagamba wanahofia sana kufanyia mikutano hapo, maana wanajua watashindwa kuwadhibiti vijana wa kazi wa Ngaleloo!...Kwao ni uwanja wa Sheikh Amri Abeid, maana wakimwaga polisi mule watu wote wanawekwa kati!.
Nape ampiga vijembe MremaNape, NApe? Hamna kazi ya kufanya? Bangi zenu zimewasababishia mfikiri kwa kamasi badala ya ubongo, na atakuja arusha sasa tuone kati CCM na hiyo NGO nani mwenye nchi. Uwendawazimu huu umenichefua sana. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumkamia mtanzania mwenzake hata hujajua anakuja kuongea nini