Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Nape hapo lilizaliwa azimio la wanyonge wanyonyaji wakalitia kapuni baada ya kukiteka chama cha wavuja jasho. Sasa mkipeperusha bendera yenye chapa ya jembe na nyundo si unafiki tu? Ndio maana mnazomewa!!Nape anazomewa muda huu kimandolu,hakika Arusha ni ukanda huru
Baada ya makamanda wa CHADEMA kuikaba vilivyo ccm Arusha,ccm imelazimika kutuma wabunge wote wa mkoa wa Arusha,Nchemba,Nape,Mwanri,Sendeka,na yale makapi mengine yaliyofukuzwa
Nyepesi lema alibandika majina feki watu wakamfuma nusla achapwe chadema tiamajitiamaji Arusha msifiche semeni kweli wakati ushawakataa
Mwanri anahutubia watu alio fuatana nao kwenye msafara njia ya UlboruNape anazomewa muda huu kimandolu,hakika Arusha ni ukanda huru
Baada ya makamanda wa CHADEMA kuikaba vilivyo ccm Arusha,ccm imelazimika kutuma wabunge wote wa mkoa wa Arusha,Nchemba,Nape,Mwanri,Sendeka,na yale makapi mengine yaliyofukuzwa
Mwanri anahutubia watu alio fuatana nao kwenye msafara njia ya Ulboru
Mwanri anahutubia watu alio fuatana nao kwenye msafara njia ya Ulboru