Nape anazomewa muda huu Kata ya Kimandolu Arusha

Nape anazomewa muda huu kimandolu,hakika Arusha ni ukanda huru
Baada ya makamanda wa CHADEMA kuikaba vilivyo ccm Arusha,ccm imelazimika kutuma wabunge wote wa mkoa wa Arusha,Nchemba,Nape,Mwanri,Sendeka,na yale makapi mengine yaliyofukuzwa
Nape hapo lilizaliwa azimio la wanyonge wanyonyaji wakalitia kapuni baada ya kukiteka chama cha wavuja jasho. Sasa mkipeperusha bendera yenye chapa ya jembe na nyundo si unafiki tu? Ndio maana mnazomewa!!
 
Nyepesi lema alibandika majina feki watu wakamfuma nusla achapwe chadema tiamajitiamaji Arusha msifiche semeni kweli wakati ushawakataa
 
Wanaelewa sana siku hizi mambo ya kudanganyana lazima aibu ya kuzomewa ipatikane....
 
Nape anazomewa muda huu kimandolu,hakika Arusha ni ukanda huru
Baada ya makamanda wa CHADEMA kuikaba vilivyo ccm Arusha,ccm imelazimika kutuma wabunge wote wa mkoa wa Arusha,Nchemba,Nape,Mwanri,Sendeka,na yale makapi mengine yaliyofukuzwa
Mwanri anahutubia watu alio fuatana nao kwenye msafara njia ya Ulboru
 
Tunauhakika gani kama ni kuzomewa au kushangilia,wekeni audio au video vinginevyo ondoeni proraganda.
 
ccm nao wasome alama za nyakati syo kila uchaguzi nyie mnasimamisha mgombea hawaoni wenzao wanachagua pa kwenda? wanadhani niwajinga? poleni sana ccm natamani kuwasaidia ila sina uwezo huo.
 
Wecheni ushahidi wahaya mnayoyaongea sio kuleta unafki na uchuro. Mtu umekurupuka kwenye viroba na banana unakuja kuleta sredi hapa. Weka ushaidi kama kweli we ni kidume.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom