Nape anazomewa muda huu Kata ya Kimandolu Arusha

Nape anazomewa muda huu Kata ya Kimandolu Arusha

CCM imekwisha kabisa hapa Arusha, Mwigulu kaja na mataahira wake kupiga kampeni lakini wapi, Nape naye nasikia kaja na kundi la 'mazezeta' wake lakini hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwa CCM.
 
kama ni kweli anazomewa, arudi ajipange upya kwa kutatua kero za wananchi,hivi kweli hasomi alama za nyakati? wa Arusha wa sasa sio wale wa kupakiwa kwenye magali na kupewa pesa,kanga,fulana na chakula,kwasasa wanahitaji watu makini,waadilifu na wachapakazi,je wewe upo wapi hapo?
 
Wana Arusha na ukubwa wote huo bado mnatumia zomea zomea kama njia ya kumdharau mtu?

Kama ni hivyo basi hamjapevuka.
 
Zomea Magamba hao....mafisadi hao...wezi wa rasilimali za nchi..........zomeaaaaaaaaaaaaa haoooooooooooooooo
 
Wana Arusha na ukubwa wote huo bado mnatumia zomea zomea kama njia ya kumdharau mtu?

Kama ni hivyo basi hamjapevuka.
Hapana tukiwapiga mawe matafuta sababu acha tuwazomee tuone kama mtafungua kesi ya kuwazomea..
 
Atakuja kukanusha na kusema alikuwa anashangiliwa.
 
Kesho kwenye lile gazeti letu front page itakua "CCM YAIVURUGA CHADEMA UDIWANI ARUSHA"-97 watupa kadi za CHADEMA na kujiunga CCM- Yupo mwenyekiti wa kata 'flani'..
 
Chadema jumamosi wampeleke Lwakatare Arusha akatoe ushahidi wa hujuma aliyofanyiwa na savimbi wa iramba! A.k.a mwigulu!
 
Back
Top Bottom