Nape anawahonga watoto wadogo na kusababisha vurugu....!

ha ha ha ha, ana kikuku cha mkononi cha dhahabu?? njoo nacho Tanga ila usirushe ngumi tu!!
 
makubwa hayo. Vipi ana wahonga nini? maana yake huko Tanzania hususan Tanganyika kuna hongo kubwa la fedha, vitu au ngono
 
masikini, alikuwa wapi hapa?
attachment.php

Hao watoto mbona kama misukule???
 
Huu ni wazimu na kuanzia sasa hakuna mzazi kuruhusu mtu mzima kibaka kama huyu kucheza na watoto na Taifa la baadae. Nape nemnda chuo kikuu ukawashike mikono kama hapo juu.

Kugawa pipi ni kawaida ya CCM. Mwenyekiti wao alitembea na kugawa pipi huku amekaa kwenye kiti cha mbele cha gari.
 
masikini, alikuwa wapi hapa?
attachment.php

Hawa watoto ukiwauliza leo yule mtu aliyekuwa anagawa pipi anaitwa nani nadhani watakuwa hawajui jina lake. Hawa wakiwa watu wazima watukuwa na akili za pipi tu, baadaye watapewa kofia, tshirt, na kanga. Kuna picha moja ulikuwa hapa JM ikionyesha watu wazima wanagombania vitenge vya CCM.

Hawa hawajui ni nini kinawafanya wagombee pipi au vitenge. wangejua ni umasikini wao na ni nani kuwafikisha hapo.
 
Huyu ni limbukeni mkubwa NAPE,Sasa hivi anarukaruka na watoto tu,watoto hawaendi shule wanafata pipi anazowagawia,analaana ya watanzania inamsumbu huyu NAPE.ANGUKO LA CCM LIMETIMIA.
 
Duh huyu jamaa ni commedian, anaonekana kama mwanamziki wa the commedy. Maana hata alionao si wa umri wa mwanamziki mashuhuri. Labda wangemuamishia kufufua chipukizi, maana hata hao wamekimbia.:A S 103:
 
Nape anajaribu kutafuta jeshi lingine baada ya lile la UVCCM kuonyesha dalili za kutokubaliana naye na maamuzi ya juu ya ccm
 
Huu ni wazimu na kuanzia sasa hakuna mzazi kuruhusu mtu mzima kibaka kama huyu kucheza na watoto na Taifa la baadae. Nape nemnda chuo kikuu ukawashike mikono kama hapo juu.

Duu!! This is really funny! Yaani pipi vijiti ndo vivutio? sera zimeshindwa kuwavuta watu.
Chama hakina mvuto tena...
mtaendelea kuwadanganya watoto ila watu wazima ' we are utterly disappointed' by this party.
We put our trust in it but it has failed to fulfil the promises and meet our expectations...
Ni suala la muda tu,you will feel it, i mean our disappointement will work out something.
Kumbukeni Kenya KANU imetawala miaka mingapi na sasa KANU inastruggle kurudi madarakani...
I pray that one day i witness the 'change'....

"Yes it is possible ...." Just the matter of time..
 
Ala, hukujua jamaa huwgawagawa sana vitu anapokuwa ndani ya mwangwanda ya kijani?

Siyo Watoto tu bali hata watu wazima huwa anawagawia. Cha ajabu ni kugawia kanga wanaume na huku anachekelea.

Pembeni kuna dada pekee na wala hataki kumuangalia na kumpa kanga moja. Hii hadi leo inanipa sana wasiwasi kwa wanaume kugombania khanga na yeye kuwaangalia zaidi wanaume na kutokumuona dada mmja tu hapo pembeni..........

attachment.php

Yaani hii heading ni perfect kuuza katika magazeti ya Chadema. Eti kahonga watoto lol...kweli mmechoka kama nyayo/vikanyagio zenu/vyenu zilivyochoka/vilivyochoka
 
Ala, hukujua jamaa huwgawagawa sana vitu anapokuwa ndani ya mwangwanda ya kijani?

Siyo Watoto tu bali hata watu wazima huwa anawagawia. Cha ajabu ni kugawia kanga wanaume na huku anachekelea.

Pembeni kuna dada pekee na wala hataki kumuangalia na kumpa kanga moja. Hii hadi leo inanipa sana wasiwasi kwa wanaume kugombania khanga na yeye kuwaangalia zaidi wanaume na kutokumuona dada mmja tu hapo pembeni..........

attachment.php

aisee.. kumbe kuna sehemu bado watu wanadanganywa kwa kanga?

inabidi tukapige kambi huko ili kuwakomboa hao wadanganyika
 
Tanzania nchi ya ajabu watoto wanahudhuria mikutano ya siasa badala ya kusoma ndo maana kuna vilaza wengi kweli siku zijazo!,
 
aking'ara mtoto kwenye mkutano wa chadema...mnasema ana mawazo endelevu
aking'ara mtoto kwenye mkutano wa ccm....mnasema mtoto wa fisadi
kweli nyie great sinkers

Wale watoto wa nape Wanapendeza et!, Unanifurahisha
 
aisee.. kumbe kuna sehemu bado watu wanadanganywa kwa kanga?

inabidi tukapige kambi huko ili kuwakomboa hao wadanganyika
Kwa nyuma unaweza ona V8 yenye thamani ya mil 300 duh yaani anatumia gari ya thamani hiyo halafu anagawa kanga!! Kweli akili kumkichwa kama kweli anawapenda hao watu awaachie hilo gari waliuze fedha wajengee zahanati madarasa nyumba za walimu wauguzi nadhani atakuwa ameonyesha upendo kuliko huo unafiki wa kuwapa kanga wakale au!!
 
GunzInTheAir........
SIo mbaya ni mawazotu manaake naona umekuja kwa kasi sana kupiga pafyumu Kinyesi, Karibu sana ila kaa ukijua kinyesi kina reverse action, Ukipiga pafyumu kinyesi ndo kinanuka Zaidi, angalia hapa kuna watu wanadata usizowahi kufikiria ndugu!
 
Back
Top Bottom