Nape anawahonga watoto wadogo na kusababisha vurugu....!

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
Wadau nape anawahonga watoto...!

attachment.php
 
Halafu utasikia tbc1 wanasema Nape amehutubia maelfu ya wakazi wa huko, na magazeti yao ya Habari leo, Uhuru, yataweka kesho kwenye ukurasa wa mbele, Nape ahutubia umati mkubwa! Upuuzi mtupu. Watawadanganya hao hao watoto. Wakubwa hawatuelezi kitu!
 
hao watoto wakifikisha miaka kumi na nane wanaanza kujua mambo ya nchi yao alafu wana wachukia ccm kama ukomaa
 
Wow! Nape ona tofauti iliyoko kati yako na hao watoto. Ebu waonee huruma uwatendee haki badala ya kuwapa pipi zinazowagombanisha tu
 
Yaani hii heading ni perfect kuuza katika magazeti ya Chadema. Eti kahonga watoto lol...kweli mmechoka kama nyayo/vikanyagio zenu/vyenu zilivyochoka/vilivyochoka
 
aiseee hivi jamaa hakati tamaa??ana roho ngumu kama paka

vyama vya upinzani vimeshindwa chaguzi kuu mara ngapi? vimekata tamaa?
hii quote ni special kwa ajili yako wewe na wenzako wenye mtazamo kama wako wa kuona upande mmoja tu "I know some people who have two sides of brain..The left brain, which has nothing right in it, and the right brain which has nothing left in it.
 
Hiyo quote inakufaa sana....
 
Connecting the dots just from ya comment.

GunzInTheAir = Genius Brain = Malaria Sugu, hahahah ahahaha ahah ahaah. Mkuu maID mengi mengi haya ya kazi gani?

endelea kuconnect hizo dots zako lkn so far hazijakubali kuunganika.
usiwe mvivu wa kufikiria, kwa nini usimuulize invisible akupe info kama mimi ni MS au la. Na je nikiwa MS kuna kosa gani ? kasafishe tongotongo
 
Back
Top Bottom