NUCLEAR BOMB
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 342
- 323
Aliyekuwa Waziri wa Habari Mh. Nape Moses Nnauye amekuwa akipost maneno tofauti kila siku baada ya kutenguliwa kwake.
Nape alisahau kama yuko Serikalini na kuna msemaji mkuu alikuwa bado anaota enzi za Msemaji wa Chama ambapo alikuwa na mamlaka ya kuikosoa Serikali na kuitolea maagizo na matamko.
Kwa maoni yangu brother Nape akae kimya atulie huenda angetafutiwa nafasi huko kwenye Chama ndo kunamfaa zaidi kuliko Serikalini. Asitake kuchafua hali ya hewa ya nchi, kuharibu Amani yetu na Kutaka kukivuruga Chama Tawala ambacho anasema alikipigania kwa Siku 28 huku akilala porini Kisa Uwaziri. Awe na Subira kwani Tumefundishwa na Babu zetu 'Subira yavuta heri '. Akajifunze Kwa mama Kilango.