Kuna aina nyingi za kushangilia ila kuna hii moja muhimu yani kupiga makofi na kelele kwa muendelezo bila kufika kikomo hata baada ya kuombwa kuacha kufanya hivyo,kwatafsiri yangu hii inamaana ya kumchoka mtu au kuchoka kitu ambacho mtu huyo anakifanya.mfano kama mtu anahutubia then watu wamechoshwa na akisemacho hutumia mbinu ili akae kimya,sasa ndugu zangu hili limetokea bungeni hata baada ya kuombwa wabunge kutulia waliendelea.tafsiri yangu nape kachokwa hata na wenzie wa magamba.