Taarifa kwa umma juu ya uamuzi wa Raisi kutengua baraza lake la mawaziri ilitolewa na Nape Nnauye. Binafsi sielewi, yeye ana wadhifa gani serikalini? Viongozi wengine au idara ya mawasiliano ya Ikulu ilikuwa wapi mpaka yeye atoe taarifa ya Serikali kwa umma kupitia vyombo vya Habari? Lakini pia uamuzi wa kutengua baraza unafanywa kupitia kamati kuu ya CCM, yenyewe kama nani Serikalini? Mwenye kujua anieleweshe.[/QUOTE]
Nape ni DC Masasi!
Taarifa kwa umma juu ya uamuzi wa Raisi kutengua baraza lake la mawaziri ilitolewa na Nape Nnauye. Binafsi sielewi, yeye ana wadhifa gani serikalini? Viongozi wengine au idara ya mawasiliano ya Ikulu ilikuwa wapi mpaka yeye atoe taarifa ya Serikali kwa umma kupitia vyombo vya Habari? Lakini pia uamuzi wa kutengua baraza unafanywa kupitia kamati kuu ya CCM, yenyewe kama nani Serikalini? Mwenye kujua anieleweshe.
Bado tupo kwenye enzi ya chama kushika hatamu, CHAMA NA SERIKALI.