Nape amvaa Dr. Slaa

yaani leo nimecheka sana, kwa hii kauli ya nepi, sorry Nape. amevaa taulo halafu anataka uingia kwwenye mbio za mita mia.
 
Ujinga wa nepi mnyauwe katika kiwango chake pu.mb.vu
 
kwa hiyo wewe na Tamko la Baraza la maaskofu kuhusu Slaa na upadre wake tukuamini wewe zaidi? Acheni utoto hasa mnapogusa masuala ya kiimani. Kuhusu hilo la kifamilia tuwaache wenyewe maana hata sie wengine tunayo yetu na tunamalizana wenyewe.
Sio kila tunalosikia kwenye familia za watu tuyachukulie kwa uzito na ndio maana yaliyosemwa kuhusu yule aliyeimba wimbo wa SEYA tunayapoteza tuu.
ila ukirudi kwenye post yako niliyo ku quote umeongea matusi yasiyostahili.
 
Pumba za Domokaya katika kufunika kombe mwanahalamu apite. Mwaka huu utaolewa sana Nnyabe Nnaule.
 
Nimekudharau sana mkuu .
 
mkuu hakuna haja na kuhangaika na mtu duni kama huyo , jikite kwenye uzi .
 
Nape yuko sawa: Viongozi wetu wa kisiasa iwe wa ccm au upinzani, wanapaswa kutueleza kwa ukamilifu pesa wanazopewa ma mataifa ya magharibi zina masilahi gani lwa vyama vyao na taifa letu.

Kwa nini kama wanapokea misaada isiwekwe wazi.

Kwa mtazamo wangu muda si mrefu tutawekewa vinaraka.
 
Aachane na Dr.slaa, mimi naona umuhim Atuambie inakuaje bajeti ya maendeleo inakua trilion 5 tu!na trilion 16 iwe matumiz ya ofis ikiwemo vitafunwa.
 
Nape ni janga la kitaifa. Chuki anazopanda yeye na mjomba wake membe ni anguko la taifa letu. Bahati mbaya chama changu Sisiem kimejaza viongozi wa kuokotekeza mtaani /vijiweni nape makonda na wengine wengi. Hivi kweli vyombo vyetu vya usalama vinatimiza wajibu wake sawasawa?
 

Hapa mtu-mzima anatishiwa nyau. Kama kweli ana data azimwage ili tumjue vizuri dr au ...........
 
Nape...ajitathimini..dr.slaa siyo saiz yake ataaibika
Amesahau kinana alikimbia mdahalo pale Itv...na ndio wanamwona kichwa
 

Katika masharti aliyopewa ni pamoja na kupambana na rushwa, kuwafikisha mahakamani mafisadi wote, kuwafilisi mafisadi na kurejesha mali za umma walizopora, ......Mengine nimesahau kidogo mnaweza muongezea mnaokumbuka ili tumsaidie Nape
 
Nepi ni nepi tu hata ikiitwa pampas, weka hapa jf huo mkataba tuone we simesema unaushaidi, unajua ni vigumu kujua mtoto mwenye nepi kama kaharisha au lah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…