Nape amvaa Dr. Slaa

Huyu nape vipi? Aseme kwanza wale wachina wanaojenga Lumumba pale wanania gani na masharti ni gani
 
duh! nyie watu noma? au wewe ndiyo yule jamaa wa kiume unayevaa pampus na na kutembea kwa mikogo ya kike wakati ndume?
 
Huyu Slaa huyu atatuletea balaa...hivi kwanini asikamatwe afungwe.

Mkuu ilitakiwa mumfunge kwenye ile ishu ya list ya kutia kinyaa pale mwembe yanga, ila mafisadi walivyoufyata nikajua hapa wakubwa wamepewa za uso na wamezikubali.
 
Dr Slaa hawezi kujibizana na Nape ni Bwana mdogo sana.Nape saizi yako ni Lowassa..........

Kisiasa BABU Slaa ni mtoto mdogo sana kwa LOWASSA. Mafuriko hayazuiliki kwa kiganja cha mkono, baada ya kitambo kidogo utafahamu maana ya neno hili.
 
Kisiasa BABU Slaa ni mtoto mdogo sana kwa LOWASSA. Mafuriko hayazuiliki kwa kiganja cha mkono, baada ya kitambo kidogo utafahamu maana ya neno hili.
Lowasa yule anatetemeka mwili mzima kama mgonjwa wa kifafa hana uwezo wa kushinda na Dr.Slaa.
 
Hivi Kesi ya SLAA kumteka, kumtesa na kumminya korodani bwana Khalid Kagenzi imefikia wapi?

Slaa akicheza hii kesi itamfunga.
 
Dr Slaa hawezi kujibizana na Nape ni Bwana mdogo sana.Nape saizi yako ni Lowassa..........
Mkuu kichwa slaa kimechoka kweli hawezi kujibu hoja za nape kwa kuwa slaa kichwani mweupe kabisa hana anachojua zaidi ya kupanga mipango ya kuteka watu.
 
Slaa fisadi sana... kafisidi hadi mke wa mtu...!!! Sasa kaenda kupewa mapesa na makameroon sijui atalipaje...!!! Maana masharti yao hao makameroon wanakupiga kabaang...wallaah hatukubali huo mchezo mchafu...Noo..!!!

Hakuna jipya chini ya CCM eti.
 
Hivi Kesi ya SLAA kumteka, kumtesa na kumminya korodani bwana Khalid Kagenzi imefikia wapi?

Slaa akicheza hii kesi itamfunga.
Wale majambazi wa Epa,Richmond na Escrow ndo wagombea uraisi kupitia ccm?
 
Kwani sheria za Tanzania zinaruhusu kupokea fedha direct kutoka nje ya nchi kuja kwenye chama chochote cha siasa?.
 
Kwani sheria za Tanzania zinaruhusu kupokea fedha direct kutoka nje ya nchi kuja kwenye chama chochote cha siasa?.

Sheria inaruhusu mafisadi wa ccm kuweka pesa nje ya nchi?
 
Mkuu kichwa slaa kimechoka kweli hawezi kujibu hoja za nape kwa kuwa slaa kichwani mweupe kabisa hana anachojua zaidi ya kupanga mipango ya kuteka watu.
Nape ana hoja zaidi taarabu hii inaonyesha kiasi wana ccm mlivyo weupe vichwani mwenu.
 
Mkuu kichwa slaa kimechoka kweli hawezi kujibu hoja za nape kwa kuwa slaa kichwani mweupe kabisa hana anachojua zaidi ya kupanga mipango ya kuteka watu.

Kweli Mkuu, yule Mzee hana achowaza cha maana chenye maslahi kwa nchi zaidi ya kutafuna ruzuku.
 
Nilijua aliyezungumza ni mtu mwenye akili timamu kumbe ni Nape anajulikana kua ni mgonjwa wa akili.
 
Dr Slaa hawezi kujibizana na Nape ni Bwana mdogo sana.Nape saizi yako ni Lowassa..........

Lowasa mwenyewe alimshindwa sembuse kwa gwiji na mtu mzito mwenye uadilifu wa hali ya juu kama Dr Slaa. Nape size yake ni kina Kibajaj na jah pipo.
 
Kweli Mkuu, yule Mzee hana achowaza cha maana chenye maslahi kwa nchi zaidi ya kutafuna ruzuku.

Kama Lowasa anavyo waza kuendelea kuwaibia watanzania hatutaki mafisadi ikulu tena .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…