Nape amtaka Zitto kujenga upinzani wa kweli

Nape amtaka Zitto kujenga upinzani wa kweli

Nape anaposema kugawa Taifa chadema wanasiasa za ukabila na ukanda ndiyo maana wanagawa taifa.

wewe CDM inaukanda gani?ACT yenu ndio ya kikanda ya kigoma na udini ndo maana mfalme wenu ZZK alivyoanzisha chama alikuwa anawatumia mashehe wa kgm mjini kwa kuwaaminisha ni chama kitakacholinda uislam na kuiinua mkoa wa kgm kwa kuwa wamechoka kuingia kwenye vyama ambavyo hawajaanzisha wa kigom.sasa huyu mfalme wenu hafai kabisa.
 
ZZK ni mmoja wa wanausalama wa taifa anefanyakazi kwa upande wa siasa za upinza,so hii kwa watu waelewa wataelewa ila kwa wanafuta mkumbo wa ukigoma na udini hawatanielewa.
 
nape yuko sahihi anataka upinzani usio na upinzani kwa ccm.
 
nimeshtushwa na kauli ya Nape eti anawaomba ACT waonyeshe siasa safi za kipinzani na isiwe kama chadema.....niwakumbushe wana JF zamani vyama vya upinzani vilikuwa hata kupata ushindi kwenye majimbo tu ni ishu kwanza vilikuwa havina vyanzo vya mapato labda mgombea awe na uwezo wa kifedha....

ili chama kiweze kushindana na ccm lazima kiwe na pesa na vile vile kiwe na wafuasi wasiokata tamaa...CCM kwa sasa inapata shida sana sababu vyama vya upinzani kama chadema na cuf wako vizuri kifedha wanaweza wakashindana na ccm mda wowote mahali popote bila shida kinachokuja kuharibu ni tume pamoja na vyombo vya dola na hapa ndipo zinapokuja zile siasa za jino kwa jino pua kwa pua hakuna atakaekubali kuporwa ushindi ccm sio wa kucheka nao kabisa na hilo ukawa wanalijua hvi vyama vilivyoanzishwa vya mfukoni vikidai vitakuja na siasa safi cjui kutoka wapi..sababu huyo mwenyekiti wao ni shuhuda wa siasa za aina hiyo ndo mana napata shaka nae...ccm wana kikundi kinaitwa green guard kazi yake kubwa kwa sasa ni kupiga watu kutisha watu wawe na hofu si kipindi kile cha mwalimu.....na ili kupambana nao ndio maana kumeanzishwa vikundi vya red brigade na blue guard hapa ni jino kwa jino ...zito alishuhudia upuuzi huu wakati kiwia mbunge anakatwa mapanga kisa udiwani wa kirumba leo hii analeta unafiki eti waaanzisha siasa safi na mfumo wa kijamaa....

hizo siasa safi ni zipi za kupambana na ccm, haya magamba hayahitaji siasa safi wenyewe wako tayari kuua ili kushinda rejea( arumeru & igunga )...act ni pandikizi la ccm ambalo wapiga debe wake wengi wapo ccm.......wasiojua wanafata either kupiga pesa zinazotolewa na ccm au mwengine anafata mkumbo tuu hajui lolote...mda utaongea...

nawaambia act kura mtagawana na ccm sio ukawa na lengo lenu halitatimia...mfano mzuri ni wale madiwani wawili wa chadema shinyanga waliorubuniwa na machange na nape wakahamia ccm ili baadae wapelekwe act ila walishtuka wakarud kundini...upepo mtauona kwenye ziara zenu mtakazo fanya itabidi ccm iwasaidie kuleta wanachama wake halafu nape awape ile mbinu ya kutengeneza kadi mpya ionekane wafuasi wamehamia kwenye chama chenu
 
Back
Top Bottom