Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Binafsi huwa namshangaa Lowassa na kilichosemwa na Mama Kabaka na Nape ni sahihi, huwezi kukosoa serikali ambayo na wewe umo na kibaya zaidi na yeye alikuwa Waziri mkuu.
Nilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?
Ladba niseme tene acha umbumbu.Tokia lini serikali hii ikatoa takwimu zenye uhalisia.Ni kweli ajira ni tatizo.Serikali yetu haijawahi na kama ni hi ya CCM hatakaaa itoe takwimu halisi.Huu ni ukweli usiofichika..Au ww tuambie lini serikali hii ikatoa taarifa iliyo sahihi?
Nilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?
Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....
Nape, jitahidi kuchunga ulimi wako. Siasa ni mchezo wa ajabu. Utakuja kujuta kwa nini uliingia kwenye siasa. Mimi naamini unaweza kuwa katibu mwenezi wa chama na ukaendelea kuongea kwa lugha ya staha na wati wakakuelewa hususan unapojibu hoja iliyotolewa na mtu wa umri na kariba ya lowassa. Be careful mdogo wangu nchi hii ni yetu sote na vizazi vijavyo.Unafiki wa Nape ni upi?
Kama kusimamia msimo wangu kuwa rasilimali za nchi lazima zifaidishe watanzania walio wengi ni unafiki, nina furaha kuitwa mnafiki.....
Kama kwa kusema watu waache ufisadi na ulafi wa madaraka ni unafiki jina hilo linanifaa sana....
Haya mengine ya Arumeru Mashariki, najua ni hasira za kushindwa kutakakowakuta, na najua itakuwa aibu kubwa kwa magwanda, si vibaya mkitanguliza hasira zenu kwangu maana mie ndo punching bag.....
ebu tusidanganyane...ajira zinapatikana kwa watoto wa vigogo tuu....ebu nendenei BOT mkajionee ni nani wapo huko....kutoa takwimu si kitu chochote.....tuangalieni hali halisi bwaaanaaa.............!
usibabaike kamanda mtandao umingilwa na vikaragisi vinavyojiita eti ni great thinkers wanajifanya ni mNilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?
Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....
Hivi Nape wale mliowapa muda wa kujivua gamba,tayari wameshajivua gamba? baada ya bw.RostamUnafiki wa Nape ni upi?
Kama kusimamia msimo wangu kuwa rasilimali za nchi lazima zifaidishe watanzania walio wengi ni unafiki, nina furaha kuitwa mnafiki.....
Kama kwa kusema watu waache ufisadi na ulafi wa madaraka ni unafiki jina hilo linanifaa sana....
Haya mengine ya Arumeru Mashariki, najua ni hasira za kushindwa kutakakowakuta, na najua itakuwa aibu kubwa kwa magwanda, si vibaya mkitanguliza hasira zenu kwangu maana mie ndo punching bag.....
Unafiki wa Nape ni upi?
Kama kusimamia msimo wangu kuwa rasilimali za nchi lazima zifaidishe watanzania walio wengi ni unafiki, nina furaha kuitwa mnafiki.....
Kama kwa kusema watu waache ufisadi na ulafi wa madaraka ni unafiki jina hilo linanifaa sana....
Haya mengine ya Arumeru Mashariki, najua ni hasira za kushindwa kutakakowakuta, na najua itakuwa aibu kubwa kwa magwanda, si vibaya mkitanguliza hasira zenu kwangu maana mie ndo punching bag.....
Unafiki wa Nape ni upi?
Kama kusimamia msimo wangu kuwa rasilimali za nchi lazima zifaidishe watanzania walio wengi ni unafiki, nina furaha kuitwa mnafiki.....
Kama kwa kusema watu waache ufisadi na ulafi wa madaraka ni unafiki jina hilo linanifaa sana....
Haya mengine ya Arumeru Mashariki, najua ni hasira za kushindwa kutakakowakuta, na najua itakuwa aibu kubwa kwa magwanda, si vibaya mkitanguliza hasira zenu kwangu maana mie ndo punching bag.....
Nilichokurupuka ni kipi? au kwasababu nimepingana na hoja ya kuwaita vijana bomu kila siku? Na kisa kasema flani? Lazima umtukane nape na kumwita mbumbumbu ndio siku yako iende?... Serikali imetoa takwimu za hali halisi ya ajira nchini, nikatakiwa kutoa maoni, nilichojibu kuwa serikali iko sahihi, hali ya ajira nchini kwa takwimu sio maneno ya barabarani, na hasa ukilinganisha na nchi hata za Afrika mashariki tu Tanzania ni bora kuliko zingine, umbumbumbu wa Nape uko wapi?
Nadhani ni vizuri pamoja na kutakiwa kutukana kila unapokuta jina la Nape, akili za kuambiwa changanya na zako....
Nnauye amjia juu Lowassa
Waandishi Wetu | Mwananchi | March 22, 2012
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amemtaka Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kueleza jinsi alivyoshughulikia kutatua tatizo la ajira wakati akiwa Waziri Mkuu.
Kauli hiyo ya Nnauye inakuja siku moja baada ya Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka kueleza kwamba tatizo hilo haliwezi kufafanishwa na bomu na kufafanua kuwa wanaosambaza uvumi huo hawaitendei haki Serikali.
Kila siku wanalalamika Serikali ya CCM inatengeneza bomu katika suala la ajira, lakini hao wanaolalamika si walikuamo madarakani na walifanya nini.
Unapofika wakati unazungumzia masuala yanayogusa jamii na Taifa kwa ujumla unapaswa kuwa na uhakikika na unachokisema sio kupita katika makanisa kuongea kitu ambacho huna uhakika. Amekuwa akitumia njia mbalimbali hususan makanisani kuelezea tatizo la ajira ambalo linaitatiza serikali, lakini mimi nabaki na msimamo ule ule kuwa yeye alipokuwa serikalini (Waziri Mkuu) alifanya nini kutatua tatizo la ajira, alihoji tena.
Tucta
Katibu Mkuu wa Chama cha wafanyakazi (Tucta), Nicolas Mgaya alisema suala la ajira bado ni tatizo kwa serikali na kwamba linapaswa kutatuliwa.
Mgaya alisema kuna vijana wengi wanahitimu masomo katika kila fani kwamba kupata kazi ni tatizo ambalo kama litasimamiwa ipasavyo litapungua.
Mgaya alisema serikalini kuna upungufu wa wafanyakazi, lakini inashindwa kuajiri, sasa umefika wakati wa kuziba mapengo hayo na kuwaondoa vijana walioko mitaani bila ajira.
Katika shule za msingi na sekondari kuna upungufu wa walimu, lakini majumbani kwetu kuna vijana waliohitimu masomo ya ualimu hawajaajiriwa sasa hapa serikali inataka kutatua ama inaongeza matatizo, alihoji Mgaya.
MY TAKE:
Hawa CCM wanataka tuwaelewe vipi kujibizana wenyewe kwa wenyewe?? Hivi majibu haya ya Nape yanaonyesha nini katika ushiriki wa Lowasa kwenye Kampeni Arumeru ikiwa ataamua kwenda????