Nape amechemsha balaaaaa kiteto!!!!!!

Nape amechemsha balaaaaa kiteto!!!!!!

Travis samwel

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
215
Reaction score
42
nipo kweny mkutano wa CCM kiteto leo, lengo la ziara yao ni kukagua shughul za maendeleo bt matokeo yake muda wooote hatusikii hata watuambie wametekeleza nn katika ilani yao ya uchaguz, matokeo yake hapa ni mipasho tu na kuwaponda wapinzan na kusifia kuwa wana ofisi nzur kila kata katka Nchi hii!!!!!! Kumbe lengo la ccm ni kupinga UKAWA
 
so what? Wambea katika ubora wao utawajua tu
 
Kuna mambo ya msingi nape alikuwa anayapinga kabla ya kupewa uongozi mpaka akaanzisha CCJ akiwa na Sitta.
Lakini tangu apewe ulaji amekuwa msema hovyo.
Sijui itakuwaje muda wake ukiisha maana anawakera wengi
 
Nape ni mropokaji toka kitambo hajaanza jana wala leo,..
 
Thread kama hizi zinashusha hadhi ya Jamiiforums.

Hii
avatar176958_6.gif
Avatar yako ndiyo inashusha hadhi tena ya Kibalozi/Kidiplomasi.
 
Nilishasema Nape na Kinana ni janga la kitaifa,kweli iko kazi,wewe badala ya kutangaza sera unahangaika na wapinzani ambao ndio wakombozi wa nchi hii,je ccm mmefanya nini kwa miaka 50????????
 
Mimi wakuu naomba anaeweza amfundishe nape kutumia mic ili aeleweke anapoongea nachelea asije siku moja taya zikaganda kwa anavopiga kelele au hajui kama ukionge tu kawaoda sauti inatoka kubwa nachoka kabisa nikimuona anavopiga kelele
 
Tatizo anatumia t kufikiri km alivyo mwenzake mmoja aliyesema kuwa ikitokea serkali 3 ataingia msituni?
 
Tatizo anatumia t kufikiri km alivyo mwenzake mmoja aliyesema kuwa ikitokea serkali 3 ataingia msituni?

Malizia vizuri anatumia tumbo na mwenzake ni komba.....
 
Nape ni wa kumhurumia jamani IQ yake ni ndogo sana halafu iko dormant.
 
Back
Top Bottom