Nape alipotembelea Tanzania Daima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape alipotembelea Tanzania Daima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Jul 5, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Katibu wa Nec, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa magazeti ya kampuni ya Free Media Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, alipotembelea ofisi za magazeti hiyo mjini Dar es Salaam. 4/7/2007. Kulia ni Mhaririri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Absalom Kibanda.


  Tuesday, July 05, 2011[​IMG]
  [​IMG]
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizungumza na Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Kampuni ya Free Media Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, Absalom Kibanda alipotembelea ofisi za magazeti hiyo mjini Dar es Salaam. 4/7/2007. Kushoto ni Naibu Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo, Asbert Ngurumo
  [​IMG]
  Nape akiwa katika chumba cha habari cha gazeti la Tanzania Daima, alipotembelea ofisi za gazeti hilo 4/7/2011. Wapili kilia ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Free Media Ltd, Abnsalom Kibanda.
  [​IMG]
  Nape akimsalimia mpigapicha mwandamizi wa kampuni ya Free Media. Francis Dande wakati wa ziara hiyo. Wapili kulia ni Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo Absalom Kibanda

  [​IMG]
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akiagana na Mhariri Mtendaji wa Free Media Ltd, Absalom Kibanda baada ya ziara katika ofisi za kampuni hiyo 4/7/2011. Katikati ni Naibu Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo Asbert Ngurumo.

  [​IMG]
  Mwandishi wa Tanzania Daima Irene Mark akiwa kazini wakati wa ziara hiyo ya Nape
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  In a Free Media Nations Hajawahi kutokea Mpiga Debe wa Chama Tawala anatembelea Magazeti yote yanatoa habari Nchini

  Kwa CCM huu ni Mpango wa kuyafanyia nini hayo Magezeti?
   
 3. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kumbe anapendeza akivaa Magwanda
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Huyu Nape hana cha kufanya...Mara aende akague nyufa UDOM...Mara aende kupanda nyasi Mpanda....
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ungetumege basi yaliyojiri katika hayo mazungumzo yao mkuu tukawa na uwanja mpana wa kuchangia.
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  huyo ndo NAPE zaidi ya umjuavyo, nahisi anatembea na TUSKER BARIIIIDI mda wote.
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tanzania Daima hana cha kusema, alipokwenda Mwananchi ndio alisema Mengi kuhusu Gamba, Mwezi Ujao Mkutano wa NEC n.k

  Tanzania Daima hakwenda na Utitiri wa Wapambe kama Magazeti Mengine...
   
 8. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Saafi sana Nape anaonyesha kuheshimu upande wa pili pia, ndio modern politics hizo, so yupo 100% right on the track!

  Willie @ NYC, USA.
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tafuta tanzania daima la LEOOOO
   
 10. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  NNAPE hata ukitembelea magazeti yote TZ hautaweza kuwazuia kuanika uozo wa CCM, kikubwa gamba hili.
   
 11. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  KWeli kabisa amefanya vyema kutembelea Tanzania Daima rasmi
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mbona huyo Irene Mark kajikwatua sana? Anataka kumtega au... lol
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Anajitahidi sana kufanya mambo KISOMI,lakini tatizo ni kwa hao watendaji na mambo yanayoendelea,leo hii ujinga unaoendelea hapa nchini NAPE ataongea hadi povu limtoke,maana watz nao wanaonaaaaa........unadhan media zitaandika mazuri ya chama........
   
 14. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Ulisema Nape ni mtu makini na unamwamini, ulikubaliana naye kwenye sarakasi za siku tisini za kuvuliwa mapacha magamba. Kiko wapi sasa???? Siasa za chumbani zimetoka nje hapatoshi.
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,626
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Mimi naona Nape ndiyo kajipodoa zaidi hebu angalia vizuri mkuu
   
 16. d

  dotto JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Akatembelee Nyamongo!
   
 17. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Urafiki wa Nape na Tanzania Daima ulikua ni wa mwaka jana tu?????????
   
 18. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Anajenga urafiki na Media, ili kuuficha uozo wa ccm.
   
 19. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nionavyo mimi Nape hana tatizo, tatizo ni chama alichoingia huyu bwana ndo maana mpaka leo hii nae aonekane FISADI. Halafu naona jamaa kama shavu limemtoka....
   
 20. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Pale anaomba nini toka freemedia??au anaomba fair game kwenye uchaguzi wa igunga??anasawazisha uwanja wa mipra kwa uchaguzi ujao??sidhani kama itasaidia labda kama anataka kuwanunua kwa mlango wa nyuma!!anyway ziara njema ila usipotoke na kupagawa wakiandika ukweli kuhusu magamba...akadhani wamemgeuka
   
Loading...