Napatwa na msongo wa mawazo

Ndoa ndoano mdogo wetu tulikueleza mapema unahitaji muda kumuangalia mtu wewe ukaharakisha kisa bwana ana usafiri na tai ya benki shingoni, Usilalamike hizo ni siri za ndani ya nyumba yako hapo ni sawa na kujivua taulo hadharani!

Nilikwambia kuolewa ni uamuzi mzito ambao hutakaa uufikirie mara nyingine isipokuwa katika mazingira flan flan, pole dada lakini hayo ndio maisha, piga magoti Muombe Mungu wako naye atakupa njia ya kutokea. Nisisikie ukilalamika tena kupitia humu sawa? ala!
 
Yawezekana eeh!
Ila pole bidada labda anajenga kwao, tusemeje sasa, mtu hanywi pombe, havuti ni nini sasa. Manager wa bank hadi unanyang'anywa gari,mwisho si ataishi jela huyo, mtu msiri nae wakati mwingine sio mzuri.

Ushauri wangu labda ujaribu kumtumia mtu wa karibu (rafiki au ndugu waliyeshibana nae) ajaribu kumsahuri maybe atabadilika

Bi dada gfsonwin maswali yote hayo ya nini, we si umweleze tu kwamba mumewe anacheza KAMARI,za kwenye MA CASINO!
Siku hizi vijana wengi wameibukia kwenye kamari na huo ni ulevi mbaya kuliko hata Bangi za akina Arushaone LOL
 
Last edited by a moderator:
Mbona kama vile unamjua? Kumbe mlimshauri mapema hakuwasikia,
Kilichobaki avumilie tu ndo keshaingia ndani hivyo

 
Sasa hicho ndicho kinachonishangaza kwanini amuandike humu? Yeye mwenyewe ndiye aliyemleta nyumbani, sasa anamlalamikia nani? avumilie tu no one is perfect...
 

mshewa2..,Kuna wimbo mmoja wa Jose Chamelioni wa Uganda...

wenye beti hizi..'' Acha kulia shida za Dunia..

ebu tulia Mungu anakujali pia"

Mtumainie Mungu siku zote katika Imani yako...devil is there to destroy..

the goodlife of yours...iishi Imani yako then you will see like...

the Storm is Over by R.kelly..

Dunia Ngumu sana hii.!!!
 
pole sana dada yangu ndo maisha komaa utatoka hakosi ulimpendea fedha pole sana dada yangu.:cheer2:
 
Najiogopa manake kwa maamuzi magumu sijambo.
hivi hapa hata sijampatia jibu huyo baba. Kwamba anakopa hela zinaenda zisipojulikana, anapokonywa gari na namtembeza mjini na gari yangu?:confused2:
Mbona kawaida tu!
Ndio gharama za mapenzi hizo.
 
.......Gambling is a dangerous game, followed by "kujikweza na matanuzi!"
 
aliyekushauri hapa ameandika vizuri sana, maisha ya ndoa siyo rahisi kama wengi wanavyo fikiri, mi ninachokushauri usimwambie mwingine hizi shida zako, hapa jamvini nafikiri umeishapata ushauri wa kutosha, vumilia, mfanye mumeo kuwa rafiki, matatizo yake yawe yako, lazima atafunguka.



 

Ee Mwenyezi Mungu Tunaziombea familia hii na familia zote, waishi katika upendo na kuheshimiana, Uwawezeshe kushinda udhaifu na majaribu yote yayozikumba familia zetu, Tunakuomba uinue nyoyo zetu juu ya udanganyifu wa vitu tuvionavyo,uoga na uvivu, ubinafsi na uchoyo, mila na mtindo na kuzituliza kwenye ukweli wako wa milele. Amen.
 

hey, he is arleady urs so deal with him. blaming exself n loosing hope is the lane to misery
 
Bi shosti hukuyajua haya kabla ya ndoa?
Au upata furaha ya kuolewa mengine ukayaignore?
Ukadhani akikuoa utamrekebisha?

Sasa nikufundishe kudeal nae the hard way?

Its simple....put your self first..... Kumbuka happy mother happy baby....healthy mother healthy baby......

Mwambie akupe maelezo ya hilo deni,
akueleze gari iko wapi......
Hela anazokopa akuonyeshe alipopeleka/invest.....

Wakati huo huo punguza matumizi ya familia.....
Gari umpe lifti pale ukipenda.....

Mijanaume ya aina hiyo usikute:-
1. Kamjengea hawara
2.kajenga kwao kimya kimya.......

Tena kuwa mkali haswa, hata ndururu yako usitoe mpaka uoate vithibitisho vya kuridhisha .......


 
tunashukuru kwa kufahamu kwamba mlikua na magari mawili, na pa kwamba shemeji ni manager wa bank..back to the point..pale mlipokua mnafunga ndoa ulipoambiwa for better or for worse..ndo hapo palipofikia sasa kwaio vumilia...ndo life..hilo usipende tu pale mambo yanapokua shega...ni hayo tu...
 


The important thing is not to stop questioning. Curiosity has its own reason for existing.
 
1.ulikulupka kuolewa nae kabla ya kufanya tafiti ya IQ yake.
2.huyo mmeo is not visionary person he only think of today,so, is not good to you,your kid and your future because he fail to stand as a man in the family.
1.mfanyie councelling na kumuuliza kuhusu matumiz yake na mshahara wake(income=expenditure).
2.Akigoma kabisa kukuambia matumiz yake ujue ana mwanamke mwingine ambae anamkomba na kumfilisi pesa zake ndo mana(a.)hyo pesa mwisho wa mwezi inaishia kwa mwanamke mwingine na inawezekana anakudanya analipa deni kumbe si hvyo.hizo kesi za namna hii ni nyingi.

Cha kufanya.
-akiwa mbishi acha kumpitie jion kurudi home.
-concentrate na hyo mimba ama mtoto ukijifungua mawazo yote yawe kwa mtoto na sio mwanaume.
-punguza/acha kupika vyakula vya gharama illi na yy ajisute nafsi yake mwenyewe kua amefail maisha ama ameshindwa kusimamia nafasi yake.
-washirikishe wazazi wke.
-Sali sana
-Sala isipo jibu.chukua hamsini zko.mana unaweza ukajikuta umri wa kufight unapita na huna nyumba hata ya kukumbilia
-
 
Dada usiwaze sana khs mumeo hata km unampenda kwa vile imetokea hvyo ww anza kuwaza maisha ya mtoto wko badae na si mwanume ambae mda wowote mnaweza kuachana na ukijikuta umeambulia patupu mf umekosa mme na nyumba huna.kwavile hatak kukuambia ukwel punguza kumpa ela hyo mwanaume mpe ya nauli na chakula tu tena chakula kisizidi $ 1 ili ajue uchungu wa kutawanya pesa lkn ww kwavile ni mjazito kula vizur sana kwa ajili ya afya ya mtu.mana ukimpa ela nyingi unaweza ukajikuta unahudumia watu wawili yani yy na km ana mwanamke mwingine.mana kwa akili ya kawaida km alitaka kufanyia jambo zuri na mambo yameharibika angekuambia lkn km anafanyia ujinga haji kukuambia hata siku moja labda ww ugundue na uthibitisha ndo atakubal.lkn pia tafuta m1 wa marafiki zake atakuambie tu ukwel koz wanaume hua wanaelezena sana siri zao.
 

Umeongea Poa Sana Best!!
Kwenye Hatua Za Kutega Mingo,Pesa Zinafyonzwa Sana Na Hawa Viumbe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…