Napataje matibabu ya changamoto ya afya ya akili?

S U N N Y

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
95
Reaction score
153
Je? Nimwone nani anisaidie, Daktari au Mchungaji?

Nna miaka 29 now.
Last week nimekutana na tukio baya Sana in my life, as nilijaribu kujiua juu ya kuwa nimezongwa Sana na msongo wa mawazo ya vimadeni na Kila jambo nnalopanga haliendi.

Nilipona bàda tu ya kujishauri mwenyewe and I cried a lot as Kama kifaa Cha kujimalizia uhai wangu nilikua nisha andaa.

Badae siku nne mbele akili ikawa umetulia kidogo nikaja hapa JF nimeomba ushaur kwa wadau kupitia Uzi flani, basi karibu watu 120 walijitokeza wakani show love Sana kias kwamba saivi siwazi tena upuuzi husika Ila nafikiria juu ya emotional intelligence ili nisiwe na fikra hizi tena.

Hakuna tatizo nililo ondokana nalo so far Ila natamani kupata uimara kifikra, wadau nafanyaje hapo? Namwona nani anisaidie daktari au mchungaji?

Mana mwisho wa siku inabidi niwe tu imara. Kama ni shida hizi zipo na hata nikijimaliza ntaacha mzigo kwa Mama (mzazi wangu)
 
Last week nimekutana na tukio baya Sana in my life, as nilijaribu kujiua juu ya kuwa nimezongwa Sana na msongo wa mawazo ya vimadeni na Kila jambo nnalopanga haliendi
Mimi nilijua umetumwa na wasiojulikana ukaue mtu asiye na hatia ukaua. Kumbe ni Madeni tu? Usijali hilo jambo.dogo watu wengi tunayo na hatuna habari.
 
Mwaka
Je? Nimwone nani anisaidie, Daktari au Mchungaji ?

Nna myaka 29 now.
Last week nimekutana na tukio baya Sana in my life, as nilijaribu kujiua juu ya kuwa nimezongwa Sana na msongo wa mawazo ya vimadeni na Kila jambo nnalopanga haliendi.

Nilipona bàda tu ya kujishauri mwenyewe and I cried a lot as Kama kifaa Cha kujimalizia uhai wangu nilikua nisha andaa.

Badae siku nne mbele akili ikawa umetulia kidogo nikaja hapa JF nimeomba ushaur kwa wadau kupitia Uzi flani,
Basi karibu watu 120 walijitokeza wakani show love Sana kias kwamba saivi siwazi Tena upuuzi husika Ila nafikiria juu ya emotional intelligence ili nisiwe na fikra hizi Tena.

Hakuna tatizo nililo ondokana nalo so far Ila natamani kupata uimara kifikra, wadau nafanyaje hapo ??
Namwona nani anisaidie daktari au mchungaji ?

Mana mwisho wa siku inabidi niwe tu imara. Kama ni shida hizi zipo na hata nikijimaliza ntaacha mzigo kwa Mama (mzazi wangu)
2017/2018 nilipitia kipindi kigumu sana maisha yangu ninadaiwa na mabenki, tra, taasisi za mikopo na watu binafsi Hadi kwenye viduka vya mtaani nilifirisika Kila kitu magari, nyumba, viwanja, nilihamia uswahilini ambapo sikuwahi kutegemea ningeishi, nilitamani kufa bahati nzuri JAMII FORUM ilikuwa sehemu yangu ya faraja.
Yote yalipita maisha ni kujipanga upya kukubaliana na unachopitia utasimama Tena, hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
Madeni hata serikali zina mzigo wa madeni ambapo kizazi na kizazi kitapita bila kukamilisha hayo madeni.

Usijali mapito huja na hupita Mungu akutangulie, ISHI MDOGO WANGU USIWAZE UPUUZI WA KUJIUA KAMA UPO DSM NA PWANI NITAFTE NIKUPE EXPERIENCE

ACHA MAWAZO MUFU MUNGU AKUBARIKI
 
Je? Nimwone nani anisaidie, Daktari au Mchungaji ?

Nna myaka 29 now.
Last week nimekutana na tukio baya Sana in my life, as nilijaribu kujiua juu ya kuwa nimezongwa Sana na msongo wa mawazo ya vimadeni na Kila jambo nnalopanga haliendi.

Nilipona bàda tu ya kujishauri mwenyewe and I cried a lot as Kama kifaa Cha kujimalizia uhai wangu nilikua nisha andaa.

Badae siku nne mbele akili ikawa umetulia kidogo nikaja hapa JF nimeomba ushaur kwa wadau kupitia Uzi flani,
Basi karibu watu 120 walijitokeza wakani show love Sana kias kwamba saivi siwazi Tena upuuzi husika Ila nafikiria juu ya emotional intelligence ili nisiwe na fikra hizi Tena.

Hakuna tatizo nililo ondokana nalo so far Ila natamani kupata uimara kifikra, wadau nafanyaje hapo ??
Namwona nani anisaidie daktari au mchungaji ?

Mana mwisho wa siku inabidi niwe tu imara. Kama ni shida hizi zipo na hata nikijimaliza ntaacha mzigo kwa Mama (mzazi wangu)
Dah mkuu ulitaka kujiua kwasababu ya madeni!! Mswalie Mtume, watu wapo kitandani miaka na miaka na wanatumai iPo siku watakuwa sawa, unakuta mtu ana kansa, ana pressure, kisukari, HIV na bado mtu anajipa moyo ipo siku atakuwa sawa sembuse madeni? Nafahamu hali uliyonayo na najua nature ya sisi wanaadamu (selfishness) kwamba changamoto yoyote inayotukuta huwa tunadhani ni kubwa kuliko za wote, lkn nmekupa mifano michache ili utafakari alafu upime na uzito wa changamoto yako.

Ni kweli una madeni lkn tambua kwamba kuna wenye madeni kuliko wewe na wana survive, so piga moyo konde jipe moyo mkuu utashinda, you are not alone.
 
Pole sana mkuu ni vyema kumtafuta mtaalam wa afya ya akili hao wachungaji wanaweza kukupa headache tu. Kamwe usiyakatie tamaa maisha yako hata upitie gumu kiasi gani.

Kwenye haya maisha hakuna cha thamani kuzidi pumzi na uhai wako ndio maana ukivipoteza hivyo huwezi kuishi tena. Be strong zikabili changamoto unazopitia na uelewe kuwa hata ukizishinda bado sio mwisho wake, changamoto za maisha zipo tu.

Kwa yeyote anayehitaji msaada wa afya ya akili mtafute huyu daktari
0788522337.

All the best mkuu
 
Je? Nimwone nani anisaidie, Daktari au Mchungaji ?

Nna myaka 29 now.
Last week nimekutana na tukio baya Sana in my life, as nilijaribu kujiua juu ya kuwa nimezongwa Sana na msongo wa mawazo ya vimadeni na Kila jambo nnalopanga haliendi.

Nilipona bàda tu ya kujishauri mwenyewe and I cried a lot as Kama kifaa Cha kujimalizia uhai wangu nilikua nisha andaa.

Badae siku nne mbele akili ikawa umetulia kidogo nikaja hapa JF nimeomba ushaur kwa wadau kupitia Uzi flani,
Basi karibu watu 120 walijitokeza wakani show love Sana kias kwamba saivi siwazi Tena upuuzi husika Ila nafikiria juu ya emotional intelligence ili nisiwe na fikra hizi Tena.

Hakuna tatizo nililo ondokana nalo so far Ila natamani kupata uimara kifikra, wadau nafanyaje hapo ??
Namwona nani anisaidie daktari au mchungaji ?

Mana mwisho wa siku inabidi niwe tu imara. Kama ni shida hizi zipo na hata nikijimaliza ntaacha mzigo kwa Mama (mzazi wangu)
+255 744 735 215

Mpigie huyu atakusaidia bure na yupo mbeya mnaweza kuonana
 
Naona wadau wamekupa namba za simu wasiliana na hao wataalamu ungekuwa Dodoma ningekuambia uende Milembe National Mental Health Hospital kuna wengi wenye stigma dhidi ya hii hospitali ila wana huduma nzuri. Kwenye maisha kufeli na kupata madeni ni jambo la kawaida, hapa nilipo napambana sana ila mambo ni bila bila ila siwezi kujiondoa kwenye mashindano, unachohitaji ni fursa moja tu na unaweza kubadili maisha yako, maisha ni mapambano...no retreat no surrender !
 
Je? Nimwone nani anisaidie, Daktari au Mchungaji?

Nna miaka 29 now.
Last week nimekutana na tukio baya Sana in my life, as nilijaribu kujiua juu ya kuwa nimezongwa Sana na msongo wa mawazo ya vimadeni na Kila jambo nnalopanga haliendi.

Nilipona bàda tu ya kujishauri mwenyewe and I cried a lot as Kama kifaa Cha kujimalizia uhai wangu nilikua nisha andaa.

Badae siku nne mbele akili ikawa umetulia kidogo nikaja hapa JF nimeomba ushaur kwa wadau kupitia Uzi flani, basi karibu watu 120 walijitokeza wakani show love Sana kias kwamba saivi siwazi tena upuuzi husika Ila nafikiria juu ya emotional intelligence ili nisiwe na fikra hizi tena.

Hakuna tatizo nililo ondokana nalo so far Ila natamani kupata uimara kifikra, wadau nafanyaje hapo? Namwona nani anisaidie daktari au mchungaji?

Mana mwisho wa siku inabidi niwe tu imara. Kama ni shida hizi zipo na hata nikijimaliza ntaacha mzigo kwa Mama (mzazi wangu)
Chukua na hii ikufunze kwamba you are not alone.

View: https://youtu.be/w-8upxZZvyU?si=nvtjLerH2y8stL0L
 
Mkuu

Unasumbuliwa na roho ya utakatifu na kutopenda dosari kwenye nafsi na maisha kwa ujumla!kifupi you're perfectionist in nature!mwenye kutaka ukamilifu was kila jambo!!

Kuwa rafu kwenye mind maisha hayana beat maalum la kucheza ni kama rege si rege mdundiko SI mdundiko!kuwa hivyo hivyo huku ukijisemea positive!!

Jaribu hii inasaidia "chukua karatasi nyeupe ya rim,andika jina lako yaani majina matatu,andika mahitaji Yako humo kama unataka pesa ,madeni yaishe na michongo ikubali,ambatanisha na neno la Mungu Kwa mkristo hata kama ni muislam coz Mungu ni mmoja ,nenda na mathayo 7:7 ,kunja karatasi Yako vizuri iwe ndogo weka kwenye chupa ya soda plastic halafu weka chumvi ya mawe ya kupima ile hata vijiko viwili au tatu hakuna kipimo maalum weka maji humo changanya na Ile karatasi Kwa pamoja!fungal chupa iweke ndani mwako mahali ambapo hakuna mtu anaweza kuiona!!iache hivyo hivyo endelea kumuomba Mungu!utaanza kuona matokeo huwezi ishiwa kabisa pesa mkuu!Nimejaribu nikaona hilo!!!

Ukiishiwa Sana utabaki na walau 10000/= au 5000/=

Jaribu!
 
Back
Top Bottom