mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
Hivi kweli serikali inaweza kusema haina uwezo wa kuokoa maisha ya mtu? Huyu dokta kikwete akipunguza safari zake za nchi za nje kama 5 hivi basi tunapata CT scan mbili. Aache kutupiga mchanga wa macho hela ipo sema hawataki ku priorities majukumu. Lowassa mshkaji wao was right.. Tatizo la ccm ni uongozi he couldnt have said it better