Napata wasiwasi kujua huyu mtoto ni wangu ama la!

Ama
wadau habari za majukumu, naomba ushauri juu ya hili;ilkua mwezi wa 2 mwaka huu, mke wangu aliomba kwenda kusalimia nyumban kwao, huko alikaa wiki 2 na siku 3, baada ya kurudi kwangu nikasex nae siku kama 3 hivi badae akanambia anajisikia vibaya tukaenda kupima ikawa ameonekana ana ujauzito. Lakini ktk kipind chote cha ujauzito alkua akiwasiliana na mwanaume mwingine wa huko kwao alikoenda akamwambia kuwa amempa mimba kipind yupo huko kwao, mimi nimegundua juzi tu kipind mke wang kajfungua, ndo nkaona sms anajulishwa jamaa kuwa tyr kajfungua. napata waswas juu ya mimba hii na sms kibao nimeona wanachat juu ya huyu mtoto, je nifanyeje ili kuujua ukweli na kipi kifate?


Ama kweli duniani kuna Wanaume.
 
Kuna njia za asili sijui kama kisayansi zimethibitika, eti ukichukua kikojoleo chako, ukagongesha kwenye utosi, mtoto akifa sio wako.
 
Sasa braza, dada kamtumia jamaa text, nimeshajifungua mtoto wako! Bado unataka ushahidi wa uhalali wa mtoto?
Uchawi wa mwisho kapime DNA. Ila hapo kuna vitu viwili au vitatu. Kwanza hujaonyesha lipi linalokupa shida? Mkeo kukusaliti? Uhalali wa mtoto? Kuacha au kukaa na mkeo?
Sema unataka nini?
Duh we jamaa hatari sana
 
Back
Top Bottom