Napata wasiwasi kujua huyu mtoto ni wangu ama la!

darasani

Senior Member
Dec 13, 2016
138
225
Wadau habari za majukumu,

Naomba ushauri juu ya hili; ilikua mwezi wa 2 mwaka huu, mke wangu aliomba kwenda kusalimia nyumbani kwao, huko alikaa wiki 2 na siku 3, baada ya kurudi kwangu nikasex nae siku kama 3 hivi badae akanambia anajisikia vibaya tukaenda kupima ikawa ameonekana ana ujauzito.

Lakini katika kipindi chote cha ujauzito alikua akiwasiliana na mwanaume mwingine wa huko kwao alikoenda akamwambia kuwa amempa mimba kipindi yupo huko kwao, Mimi nimegundua juzi tu kipindi mke wangu kajifungua, ndo nikaona SMS anajulishwa jamaa kuwa tayari kajifungua.

Napata wasiwasi juu ya mtoto hii na SMS kibao nimeona wanachati juu ya huyu mtoto.

Je nifanyeje ili kuujua ukweli na kipi kifate?
 
masandare

JF-Expert Member
Mar 9, 2014
652
1,000
Sasa braza, dada kamtumia jamaa text, nimeshajifungua mtoto wako! Bado unataka ushahidi wa uhalali wa mtoto?
Uchawi wa mwisho kapime DNA. Ila hapo kuna vitu viwili au vitatu. Kwanza hujaonyesha lipi linalokupa shida? Mkeo kukusaliti? Uhalali wa mtoto? Kuacha au kukaa na mkeo?
Sema unataka nini?
 
bright platnumz

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,743
2,000
wadau habari za majukumu, naomba ushauri juu ya hili;ilkua mwezi wa 2 mwaka huu, mke wangu aliomba kwenda kusalimia nyumban kwao, huko alikaa wiki 2 na siku 3, baada ya kurudi kwangu nikasex nae siku kama 3 hivi badae akanambia anajisikia vibaya tukaenda kupima ikawa ameonekana ana ujauzito. Lakini ktk kipind chote cha ujauzito alkua akiwasiliana na mwanaume mwingine wa huko kwao alikoenda akamwambia kuwa amempa mimba kipind yupo huko kwao, mimi nimegundua juzi tu kipind mke wang kajfungua, ndo nkaona sms anajulishwa jamaa kuwa tyr kajfungua. napata waswas juu ya mimba hii na sms kibao nimeona wanachat juu ya huyu mtoto, je nifanyeje ili kuujua ukweli na kipi kifate?
Unataka Ukweli gani sa zaidi ..akati ukweli ndo uo usha upata
 
darasani

Senior Member
Dec 13, 2016
138
225
Sasa braza, dada kamtumia jamaa text, nimeshajifungua mtoto wako! Bado unataka ushahidi wa uhalali wa mtoto?
Uchawi wa mwisho kapime DNA. Ila hapo kuna vitu viwili au vitatu. Kwanza hujaonyesha lipi linalokupa shida? Mkeo kukusaliti? Uhalali wa mtoto? Kuacha au kukaa na mkeo?
Sema unataka nini?
kwanza uhalali wa mtoto pili nimfanyeje km nikigundua mtoto c wangu.
 
Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,626
2,000
miez 9 imetimia nko nae baada ya kutoka kwao, nimemwambia tuachane kabla sijachukua maamuz mengn nlpogundua kn mwanaume kapewa nafas ya ubaba kwa siri
Hapa tayari umeshajua baba wa mtoto ni nani.Ongea na mkeo mwambie kuwa umekubali kuwa baba mlishi wa mtoto.
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,033
2,000
wadau habari za majukumu, naomba ushauri juu ya hili;ilkua mwezi wa 2 mwaka huu, mke wangu aliomba kwenda kusalimia nyumban kwao, huko alikaa wiki 2 na siku 3, baada ya kurudi kwangu nikasex nae siku kama 3 hivi badae akanambia anajisikia vibaya tukaenda kupima ikawa ameonekana ana ujauzito. Lakini ktk kipind chote cha ujauzito alkua akiwasiliana na mwanaume mwingine wa huko kwao alikoenda akamwambia kuwa amempa mimba kipind yupo huko kwao, mimi nimegundua juzi tu kipind mke wang kajfungua, ndo nkaona sms anajulishwa jamaa kuwa tyr kajfungua. napata waswas juu ya mimba hii na sms kibao nimeona wanachat juu ya huyu mtoto, je nifanyeje ili kuujua ukweli na kipi kifate?

KAPIME DNA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom