Nimeelewa concept yako achana na hao wakosoaji kila kitu,ni hivi dada angu,kumpa mtu kitu haimaanishi lazima awe na shida ila ni ishara ya upendo,mimi nina wasi wasi huyo jamaa ni mbinafsi ana tabia ya uchoyo,haiwezekani ushindwe kumnunulia mpenz wako hata chupi ya 15000 hata kama ana pesa ila ni ile unapenda kumuona amevaa au anatumia kitu ulichomnunulia au kumpa. Tatizo lililopo kwa wanaume wa kiafrika kiutafiti hatujui mahaba kama wenzetu wazungu. Inawezekana pia ni kutokana na asili yake either malezi ya kwako hawana hulka ya utoaji,nilikuwa na mpenz wangu nae alikuwa hivyo hivyo ila nilipoenda kwao nikaona wana tabia ya uchoyo maana nilipoenda kwao wao walikuwa wanauwezo sana nilikuta wote wanakula it was lunch time walinikaribisha bila kunipa maji ya kunawa ingawa sikuwa nataka kula,tena sura zao zilionesha kabisa hawataki nile na hawataki wageni wakati wa kula. Niligundua hilo kwa sababu ofcoz am a psychiatrist by professional,so dada angu hilo jamaa lako ni libinafsi au halijui mahaba kama kama kabila fulani hivi wao ni ziro ktk swala hilo,huwa hawawajali wake zao zaidi sana wanajali PESA TU.