Mkuu niliyaona njian tulipishana na jamaa machinoo kayafungaa kwa minyororo !!.. Mbwa n wakali kama wanakichaaWatakuwa washaliwa tayari
Si urudi iringa ulikowaona mara ya kwanza?
Yanapatikana wapiiiHayo ni makali kinyama yanaitwa DOBERMAN ila hayalii yanamfukuza mwizi kimyakimywa
Wa dizaini hiii au n police dog hawa wakawaidaNenda kikosi cha mbwa cha polisi kurasini nazani wapo wanawauza na kuwa train pia
Mkuu hiyo ni bei ya Kifaranga wa kuku ... hahahahaWapo karomije,mmoja anauzwa buku
Uyu jamaa anautanMkuu hiyo ni bei ya Kifaranga wa kuku ... hahahaha
Taabu ya nini mkuu? Fuga mbuzi...
Hahahahah ..Taabu ya nini mkuu? Fuga mbuzi...
Hahahahah ..
NawahitajiWapo karomije,mmoja anauzwa buku