Napata wapi flemish (Sungura aina ya flemish)?

Napata wapi flemish (Sungura aina ya flemish)?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,760
Reaction score
3,858
Kama mnavoona hawa ni jamii ya sungura wa nyama wenye uwezo wa kukua kuwa kima kikubwa sana!

Kifupi ndo sungura wakubwa kuliko aina zote za sungura
IMG_7008.jpg

Kwa hapa tanzania wanapatikana wap
 
sasa kwa mkuzi na malezi ya sungura siku ya kumchinja inakuwaje[emoji16][emoji16][emoji16]
maana anakaa kama pets zaidi kuliko kitoweo.
 
Back
Top Bottom