Napata wanawake tegemezi tuu, nakosea wapi?

Kweli dunia imebadilika sana, we're officially westernised. Hizi ndio falsafa za watu wa magharibi, '50/50' yaani fifty-fifty.
 
Hahahah we unazungumzia mwanamke mchumi, kihalisia tabia ya uchumi kwa wanawake ni inborn trait huwa wengi wana uwezo mkubwa wa ku manage resources kama fedha ili iweze kutosha kutimiza mahitaji muhimu ya kila siku katika familia regardless ni ndogo kiasi gani! Ukipata mke wa hivyo umeula mkuu na ndio hasa type za mama zetu sisi ambao ni wahenga kwa sasa!

Ila hawa wanawake wa kisasa walioolewa kuanzia awamu ya mzee wa msoga ni matatizo matupu, wapo wachumi ila shida ni kwamba akiwa na kazi au asiwe nayo hamna nafuu yeyote ya maisha! Sana sana kero zitaongezeka maana hata huduma muhimu za mke zitakuwa hafifu, kupikiwa na beki3, kupewa unyumba ni mpaka mpigishane kelele maana sababu ya "natoka kazini huoni nmechoka jamani" itakuwa kawaida, watoto muangalizi ni beki 3 na kero zinginezo kama usaliti!

In my opinion kama unajiweza ni bora kuwa na mke asieenda job awe manager wa familia na nyumba, ni heri akae ndani utampaga hela kiasi ya pocket money kila mwezi! Najua kuna watao nipinga kuwa mkoloni ila statement yangu ina maana kubwa sana kwa watu wenye kuelewa kadhia ya mwanamke mwenye kipato au wadhifa!
 

Hayo ni matatizo ya kujifanya Bahresa from day one. Badilisha style ya kua approach utapata kama wakwetu.
 
Kingine badilisha style ya kuwatokea, usivimbe sana mzee baba! Mpeleke kistaarabu tu hata kama unazo kama yuko real atanata na beat! Shida mnatakaga kuvimba ma KFC huko na viwanja vya matawi, thats why unapata ombaomba tu! Peleka mama sehemu simple tu mpige hata kitimoto safi kisha mwaga sera, hela kama unayo haibadiliki hio utabaki na wasifu wako hata ukichill uswazi!
 
Wewe utakua unanifaa Mimi. Nataka na Mimi nipate MTU awe ananisaidia majukumu yangu.
Hao wanawake zako sio kwamba ni mizigo hawakupendi ama ni wachoyo.
 
Unaona mkuu,na ndiyo maana maandiko yanasisitiza kuwa wanawake hawa tuishi nao kwa akili
 
Boss wewe ni kama mimi. Sijui nakwama wapiii
Mnataka ready made sio? mwanamke anatengenezwa yaani ukiona mwanamke anakupa ela ujue ulianza na kumjali kabla kisha baadae akajenga imani kwako na ndio maana demu nae anatoa ukikwama. Komaeni kama ni wife material mnaowapata waoeni na wapeni mitaji maana wanaume tunaingia kwenye mahusiano na wanawake na si fedha za wanawae kwani unaweza ukampata anaejiweza lakini kwa fedha za kuajiriwa (je uliwahi kujifikiria ikatokea amepigwa chini kazi itakuaje?)
 
Yani mimi na wewe sawa kabisa sijui tufanyaje sasa?
 
Vyuma vimefanya watu wawe wabunifu. Hapo ukute mpo hata 10 kila mmoja anapewa jukumu
 
Tabia za kikupe kupe ndo zimejaa mjini. Ukijichanganya tu. Utajuta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…